RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,754
- 129,487
Hatimaye tumepewa kitoweo tulichokuwa tunakitaka. O.T jipangeni sana raundi hii.
Saw a mkuu sisi tushazoea kufungwa kazi kwenu nyinyi mliozoea ushindi!
Hatimaye tumepewa kitoweo tulichokuwa tunakitaka. O.T jipangeni sana raundi hii.
Usiogope man wanatuoteaga ila si safari hii wajipange kwa msimu ujao
Wana arsenaliy nafurah kuwajulisha arsenal ndiyo klabu yenye washabik weng zaid humu Jf mara mbili ya wale wa man u, chelsea, liva na madrid nimeligundua hili kwa kuangalia koment za kila klabu. COYG
Arsenane amepelekwa kwa chatu.Yaan hawa vilaza man u lazima wakae, kwa FA historia waweke pemben pumbav zao
Arsenane amepelekwa kwa chatu.
Huwezi amini lakini Arsenal imefungwa na M.United Emirates. Man. United ikiwa timu dhaifu kabisa. sasa Red. Devils wameanza kuimarika tena watacheza kwao. Itakuwa mechi nzuri kuangalia.
Endelea kufanya uchunguzi,utagundua Arsenal kuwa kibonde ndio kumefanya hili jukwaa kuwa na coment nyingi
haujui unachokisema kama ni hivyo msimu uliopita man u wangepata walau koment lak 1
ndio itakuwa mechi nzur kuangalia kwan arsenal ni timu yenye mpira wa kuvutia zaid hasa tunapokuwa kwenye fom. Ila amin hii mech arsenal tutashinda ushindi wa kipekee na mahiri ndan ya OT
Wametukabidhi man u fa, nadhani ni muda muafaka wa kuwaadabisha hawa jamaa hata kama tutacheza kwao ot.
Kwema kabisa Mkuu, ngoja uone muziki wetu msimu huu.