Maswali 10 kwa Vodacom Tanzania!

Maswali 10 kwa Vodacom Tanzania!

CCM wameiharibu nchi hii. Hakuna wa kusimamia wala kufuatilia utapeli kama huu. Kuna siku niliweka sh 2500 ili ninunue kifurushi cha sh 2500. wakawa wananijibu "salio lako halitoshi kununua kifurushi hiki tafadhali ongeza pesa" kuja kuchecki balance nikashangaa imebaki 2440/= nikaongeza ikawa 2640/= bado wakaendelea "salio lako halitoshi kununua kifurushi hiki tafadhali ongeza pesa" na wakaendelea kukata. Imagine wakifanya hivo kwa watu laki 2 tu kwa siku wanatengeneza sh 200,000 mara 120 = Mil 24.
 
Hilo swali na mm nimekuwa nikijiuliza sana. Kwanini tena ninakatwa 300 nikituma ujumbe wakati kwenye matangazo yao hawajasema.. Hapa kuna aina flani ya wizi.. Au ndo Hela za Kampeni zinatafutwa.

Hii Tanzania naona kila mtu akipata nafasi ana Chukua Chake Mapema..
 
Wahusika Wako Busy Na Maandalizi Ya Kugombea Urais...
 
Wamefirisika voda
Ili kukompasate hasara waliyoipata wameanzisha hiyo jaymill ili wateja mchangie hizo 300
 
Kwa bahati mbaya ni kwamba tumekuwa tunatoa malalamiko au kejeli bila kuchunguza, ni kweli kwamba mapungufu yapo lakini sio kwa kiwango hicho.

Mfano: Ukiangalia website yao wameweka bei, na hata ukiwauliza kwenye mitandao ya jamii wanakupa bei husika. Pia mshindi anatakiwa kutuma ujumbe mmoja tu kucheki kama ameshinda. Promosheni ni bahati nasibu na ndio maana kunakuwa na mtu wa gaming board.

UMEDANGANYA! SIO UJUMBE MMOJA, NI JUMBE TATU KWA SIKU. MIMI MWENYEWE TANGU MWANZO NILIJIUNGA NAKATWA 900TSH. KWA SIKU. 300 KWA 100M, 300 KWA 10M, 300 KWA 1M. MESEJI ZAONI: sorry you didn't win, you missed, you are not, cross your hands, kila siku meseji zile zile. tumewachoka! airtel mbona promotion yao iko wazi
 
CCM wameiharibu nchi hii. Hakuna wa kusimamia wala kufuatilia utapeli kama huu. Kuna siku niliweka sh 2500 ili ninunue kifurushi cha sh 2500. wakawa wananijibu "salio lako halitoshi kununua kifurushi hiki tafadhali ongeza pesa" kuja kuchecki balance nikashangaa imebaki 2440/= nikaongeza ikawa 2640/= bado wakaendelea "salio lako halitoshi kununua kifurushi hiki tafadhali ongeza pesa" na wakaendelea kukata. Imagine wakifanya hivo kwa watu laki 2 tu kwa siku wanatengeneza sh 200,000 mara 120 = Mil 24.

ni wakati sasa wa kuitangaza vodacom kama kampuni ya matapeli kama walivyofanya kwa benki ya mkombozi. CAG na KAMATI YA ZITTO waichunguze vodawizi
 
Kwa bahati mbaya ni kwamba tumekuwa tunatoa malalamiko au kejeli bila kuchunguza, ni kweli kwamba mapungufu yapo lakini sio kwa kiwango hicho.

Mfano: Ukiangalia website yao wameweka bei, na hata ukiwauliza kwenye mitandao ya jamii wanakupa bei husika. Pia mshindi anatakiwa kutuma ujumbe mmoja tu kucheki kama ameshinda. Promosheni ni bahati nasibu na ndio maana kunakuwa na mtu wa gaming board.

UMEDANGANYA! SIO UJUMBE MMOJA, NI JUMBE TATU KWA SIKU. MIMI MWENYEWE TANGU MWANZO NILIJIUNGA NAKATWA 900TSH. KWA SIKU. 300 KWA 100M, 300 KWA 10M, 300 KWA 1M. MESEJI ZAONI: sorry you didn't win, you missed, you are not, cross your hands, kila siku meseji zile zile. tumewachoka! airtel mbona promotion yao iko wazi
 
Mimi ni mteja wa Vodacom kwa muda mrefu, ila huwa sishiriki upumbavu wao.
 
January Makamba atolee maelezo kuhusu UTAPELI huu wa VODACOM.
 
Huu utapeli wizi wa mchana kweupe yaani nilijaribu siku moja tu nikaona naibiwa vodacom hii ni conspiracy ya kutuibia tutawapeleka mahakamani ngonja tuendelee kukusanya ushahidi
 
Siku hizi nimeacha kutumia huu mtandao zaidi ya m pesa tu.
 
Hawa jamaa toka wameanza kujiita vodacom tanzania na kuchange logo kutoka blue kuwa red wamekuwa wapuuziiiiiii na huduma zao zimekuwa za kitapeli mpaka nashindwa kuwaelewaaa
 
Back
Top Bottom