Kwann mamaafacebook
Utamuitaje ndoo wakati kidumu nipo....!!!!Asprin come this way mr wangu
Utamuitaje ndoo wakati kidumu nipo....!!!!
Wadau ,mimi ni kidume nina mpenzi wangu anasema yeye anapenda nifuge rasta bila hivyo hata jihisi vizuri maana alishawahi kuwa na boyfriend kabla ambaye alikuwa mfuga rasta baadae wakamwagana mazima, akaumia sana sasa anasema mimi ndio nimeponya majeraha yake ya moyoni nifuge rasta ili furaha yake yote ya moyoni irudi.
Sasa mziki unakuja kwenye ukoo wetu,heshima niliyonayo kwa ndugu na marafiki,ninavyofahamika kanisani na kazini ninakofanya kazi,leo wanione nafuga rasta sijui watanioneja?maana mi sizifeel kabisa kuwa kama ni urembo na ninaona nitaonekana kituko. au wadau mnanishaurije?
Dont take it serious..............usitake kunigombanisha bure sawa??? toka lini mapenzi yakafosiwa hebu uko
Na ukishafuga ujiandae akuambie uvute na bangi kabisa..hivi mnawapataga wapi mademu wa hivyo..!em piga chini hicho kiumbe ama lah aende jamaica uko..,
Wadau ,mimi ni kidume nina mpenzi wangu anasema yeye anapenda nifuge rasta bila hivyo hata jihisi vizuri maana alishawahi kuwa na boyfriend kabla ambaye alikuwa mfuga rasta baadae wakamwagana mazima, akaumia sana sasa anasema mimi ndio nimeponya majeraha yake ya moyoni nifuge rasta ili furaha yake yote ya moyoni irudi.
Sasa mziki unakuja kwenye ukoo wetu,heshima niliyonayo kwa ndugu na marafiki,ninavyofahamika kanisani na kazini ninakofanya kazi,leo wanione nafuga rasta sijui watanioneja?maana mi sizifeel kabisa kuwa kama ni urembo na ninaona nitaonekana kituko. au wadau mnanishaurije?
Wadau ,mimi ni kidume nina mpenzi wangu anasema yeye anapenda nifuge rasta bila hivyo hata jihisi vizuri maana alishawahi kuwa na boyfriend kabla ambaye alikuwa mfuga rasta baadae wakamwagana mazima, akaumia sana sasa anasema mimi ndio nimeponya majeraha yake ya moyoni nifuge rasta ili furaha yake yote ya moyoni irudi.
Sasa mziki unakuja kwenye ukoo wetu,heshima niliyonayo kwa ndugu na marafiki,ninavyofahamika kanisani na kazini ninakofanya kazi,leo wanione nafuga rasta sijui watanioneja?maana mi sizifeel kabisa kuwa kama ni urembo na ninaona nitaonekana kituko. au wadau mnanishaurije?
Usifanye chochote kile ambacho wewe mwenyewe hukipendi ili kumridhisha mtu mwingine hata kama ni MUPENZI.
am not takin it seriously................................Dont take it serious..............
Pamojaam not takin it seriously................................
Samahani mkuu ungerekebisha muandiko kidogo....Zaid ukiyafuga afu bd akubwage jeeee? Km kakupenda kwel czn km atakuletea huo upuuz ciz angeridhika naw hvo ulivooo nahc anakutumia kumaliza machungu yakeee .... dem chiz kwel em mchunguze lbd ht n anavuta bang jmn eeeeh
Makubwaaaa