Anaitwa Ndege John jina rasmi... Mtaani anaitwa Bwana Afya utampata pale viwanja vya furahisha, Mwaloni, hapa mitaa ya vick fish mpaka kwa mswahili kama unatoka igogo kwenda nyegezi, kamanga ferry, iloganzala na maeneo mengi yenye uchafu hasa wa samaki (chakula chao) jina la ndege mwarabu...