Viongozi wetu CHADEMA mtajiuzulu lini?

Viongozi wetu CHADEMA mtajiuzulu lini?

Gangongine

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,854
Reaction score
1,776
Wakati a vuguvugu la Uchaguzi mwaka 2015, Makamanda mlituaminisha kwamba ni lazima twende Ikulu na kama haitakuwa hivyo, mlikuwa tayari kujiuzulu Siasa. Wengine mlituambia kwamba CCM lazima ing'oke madarakani mwaka 2015 na ikishindikana hivyo, labda baada ya miaka 50.

Kwa kuwa Uchaguzi umepita na mambo hayakuwa, nawauliza maswali madogo tu enyi Viongozi Wakuu wetu CDM;
(a) Ni lini mtachukua uamuzi wa kujiuzulu Siasa baada ya jitihada za kwenda Ikulu kushindikana?
(b) Kwa kuwa mlisema itachukua miaka 50 tena kuing'oa CCM, mnasubiri nini tena au mna uhakika mtakuwepo kipindi hicho ili muing'oe CCM madarakani? Isingekuwa busara kuwapisha wengine waje na mbinu mpya ili kupunguza muda wa kuing'oa CCM madarakani kutoka 50 hadi angalau 10?
Nasubiri majibu yenu ya busara kwa kuwa Chama chetu hakina utaratibu wa kutumia jazba katika kujibu hoja muhimu kama hizi!

CDM Asili mfia Chama.
 
Mkuu kwa sasa siasa tunaiweka pembeni tunaungana Na waliyofikwa Na maafa ya tetemeko la Aridhi.
 
Wakati a vuguvugu la Uchaguzi mwaka 2015, Makamanda mlituaminisha kwamba ni lazima twende Ikulu na kama haitakuwa hivyo, mlikuwa tayari kujiuzulu Siasa. Wengine mlituambia kwamba CCM lazima ing'oke madarakani mwaka 2015 na ikishindikana hivyo, labda baada ya miaka 50.

Kwa kuwa Uchaguzi umepita na mambo hayakuwa, nawauliza maswali madogo tu enyi Viongozi Wakuu wetu CDM;
(a) Ni lini mtachukua uamuzi wa kujiuzulu Siasa baada ya jitihada za kwenda Ikulu kushindikana?
(b) Kwa kuwa mlisema itachukua miaka 50 tena kuing'oa CCM, mnasubiri nini tena au mna uhakika mtakuwepo kipindi hicho ili muing'oe CCM madarakani? Isingekuwa busara kuwapisha wengine waje na mbinu mpya ili kupunguza muda wa kuing'oa CCM madarakani kutoka 50 hadi angalau 10?
Nasubiri majibu yenu ya busara kwa kuwa Chama chetu hakina utaratibu wa kutumia jazba katika kujibu hoja muhimu kama hizi!

CDM Asili mfia Chama.
vijana wa olesendeka ijumaa ni siku zenu za buku 7 mkumbushe nappy awape na bando la wiki ijayo.

swissme
 
Duh sa mbili asubuh ushaanzisha uzi wa chadema?inaelekea wewe ndio unafunguo za lumumba...
Ijumaa una buku 8000 yako swaaaafi.
 
Ninyi ni viongozi wetu mnaojibu hapa? Au mmesahau ahadi za Viongozi wetu?
 
Tatizo hawanaga kumbukumbu ndo maana leo wanaweza kukuita wewe fisadi af kesho wakasema wew n msafi

Kw hyo huenda washasahau kbs kama walitoaga hiyo ahadi
 
Mnatamaaani Mbowe ajiuzuru,ili mtuwekee dokta mihogo mwingine,mmenoa,mwambieni John tunasubiri viwanda huku Mbeya, mwambieni ajira zinasubiriwa kwa hamu,mwambieni asisahau na milioni hamsini kila kijiji.Mbowe achaneni naye siasa hadi 2020,saivi ni hapa Mbombo tu.
 
Mamluki! wallah usipoambiwa hivyo namuacha mkeo.
 
Mi nachojua amna mwana chadema wa kumuhoji mbowe. Anae bisha haje hapa na mfano.
 
Utamhoji nini wakati yeye kila anachotekeleza ni maazimio ya Kamati kuu inayompangia cha kufanya? Ndio maana huwezi kumsikia Mbowe anasema 'mimi' bali 'sisi' au hawezi sema 'nimeamua' bali 'tumeamua'
Hii ni tofauti na mtukufu wenu ambaye kauli zake zinadhibitisha kuwa ANAJIZUNGUMZIA YEYE VILE ATAKAVYO. Kama hilo hujaligundua basi umevaa miwani ya mbao.
 
Hutakaa upate majibu ya maswali yako toka kwao
 
Utamhoji nini wakati yeye kila anachotekeleza ni maazimio ya Kamati kuu inayompangia cha kufanya? Ndio maana huwezi kumsikia Mbowe anasema 'mimi' bali 'sisi' au hawezi sema 'nimeamua' bali 'tumeamua'
Hii ni tofauti na mtukufu wenu ambaye kauli zake zinadhibitisha kuwa ANAJIZUNGUMZIA YEYE VILE ATAKAVYO. Kama hilo hujaligundua basi umevaa miwani ya mbao.
kwa hiyo ile 2012 alisema sisi tutajiuzulu na sio mimi nitajiuzulu siasa ccm ikishinda sio?. ama kweli!!
 
Hivi ccm ilishinda? Twende kwenye maana halisi ya uchaguzi huru na wa haki, ilishinda? Tafuta ile ripoti ya EU uisome sio kama gazeti bali kwa kina kisha jiulize hilo swali nililokupa halafu uje na jibu.
Tahadhari; tafuta maana pana ya huru na wa haki.
 
Ahadi ni deni watimize hiyo ahadi ila kwakua wamewashikia akili wanachama hawatang'oka hao.

Mwenyekiti CCM JF
 
Wakati a vuguvugu la Uchaguzi mwaka 2015, Makamanda mlituaminisha kwamba ni lazima twende Ikulu na kama haitakuwa hivyo, mlikuwa tayari kujiuzulu Siasa. Wengine mlituambia kwamba CCM lazima ing'oke madarakani mwaka 2015 na ikishindikana hivyo, labda baada ya miaka 50.

Kwa kuwa Uchaguzi umepita na mambo hayakuwa, nawauliza maswali madogo tu enyi Viongozi Wakuu wetu CDM;
(a) Ni lini mtachukua uamuzi wa kujiuzulu Siasa baada ya jitihada za kwenda Ikulu kushindikana?
(b) Kwa kuwa mlisema itachukua miaka 50 tena kuing'oa CCM, mnasubiri nini tena au mna uhakika mtakuwepo kipindi hicho ili muing'oe CCM madarakani? Isingekuwa busara kuwapisha wengine waje na mbinu mpya ili kupunguza muda wa kuing'oa CCM madarakani kutoka 50 hadi angalau 10?
Nasubiri majibu yenu ya busara kwa kuwa Chama chetu hakina utaratibu wa kutumia jazba katika kujibu hoja muhimu kama hizi!

CDM Asili mfia Chama.
taifa liko kwenye msiba, kamwambie sendeka au nape kinana kuwa watz wamesahau itikadi kwa muda kuomboleza maafa
 
Kwa nini usiondoke wewe chadema ukaenda kupumzika? sie wanachadema tunawahitaji sana viongozi wetu, tena ndio tuaowaombea wawe na afya njema waepushwe na majanga, kama unangoja wajiuzulu bora uondoke tu maana haitatokea,
 
Wakati a vuguvugu la Uchaguzi mwaka 2015, Makamanda mlituaminisha kwamba ni lazima twende Ikulu na kama haitakuwa hivyo, mlikuwa tayari kujiuzulu Siasa. Wengine mlituambia kwamba CCM lazima ing'oke madarakani mwaka 2015 na ikishindikana hivyo, labda baada ya miaka 50.

Kwa kuwa Uchaguzi umepita na mambo hayakuwa, nawauliza maswali madogo tu enyi Viongozi Wakuu wetu CDM;
(a) Ni lini mtachukua uamuzi wa kujiuzulu Siasa baada ya jitihada za kwenda Ikulu kushindikana?
(b) Kwa kuwa mlisema itachukua miaka 50 tena kuing'oa CCM, mnasubiri nini tena au mna uhakika mtakuwepo kipindi hicho ili muing'oe CCM madarakani? Isingekuwa busara kuwapisha wengine waje na mbinu mpya ili kupunguza muda wa kuing'oa CCM madarakani kutoka 50 hadi angalau 10?
Nasubiri majibu yenu ya busara kwa kuwa Chama chetu hakina utaratibu wa kutumia jazba katika kujibu hoja muhimu kama hizi!

CDM Asili mfia Chama.

Wazeee wako walishindwa kujiuzulu kwa kuzama mv bukoba, na kule nungwi ukija mbagala na gongo la mboto mabomu unaleta porojo za kwenda ikulu hapa.
 
Kwa nini usiondoke wewe chadema ukaenda kupumzika? sie wanachadema tunawahitaji sana viongozi wetu, tena ndio tuaowaombea wawe na afya njema waepushwe na majanga, kama unangoja wajiuzulu bora uondoke tu maana haitatokea,
Kumbuka Ahadi ni deni kaka! Ndio tunasubiri wajiuzulu kuonesha wanasimamia kauli yao!!
 
Back
Top Bottom