Recent content by staki shari

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono tamko la wasanii wa filamu

    Kuna watu hawaogopi jehanamu,eti agizo rasmi la rair, kwamba we unataka wasilipe kodi kwakuwa wanapendwa! Kama aloandika haya anacheti cha kidato cha nne basi alipata pepa.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwongozo mabaraza ya katiba una kasoro kubwa

    Mwandishi amepaniki.diwani ni mwakilishi wa wananchi wa kata husika ni haki kabisa kuwapo ktk mabaraza.wananchi watawapigia kura wajumbe wengine wanne sa kama hao wote watakuwa wanachama ama wapenzi wa chama flani hilo siyo tatizo la tume na wananchi waliowachagua.watu wengine bana,kulalamika...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

    Mh. Mwigulu wanaokushambulia hapa ni watu wanaoamin ktk uchama kuliko taifa,kwao wao yeyote anayetishia uhai wa chama chao ni adui na uzuri ni kwamba silaha yao ya matusi na kejeli hapa jf haiathiri fikra za waliokuchagua na wanaoendelea kukuamini.na kwa wanachama wa chama cha mapinduzi hakuna...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba: Hatutakusahau Mizengo Kayanza Peter Pinda

    Naam mwigamba unaongea kile unachokiamin na hili jambo jema,nadhan wale unaowapa ukweli wanakuelewa hususan walokuumiza toka pale makao makuu.umetisha...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha nne 2012: Mataifa mawili katika nchi moja! - Zitto

    Katika hili ondoeni siasa tutafakari njia sahihi ya kuliondoa hili tatizo, kama kusoma ktk shule nzuri kila mzaz mwenye uwezo anafanya hvyo na watamshangaa kama atamua kumpeleka mwanae ktk shule isiyokidhi, mfano mh mbowe wanae wanasoma wp? Ye ni kiongoz wa chama kinachopigania elimu bora...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kisandu afunguka: Nitaisapoti CHADEMA jimbo la Lushoto

    haya,msiwe mnapiga kelele kuwa meibiwa kura mnaposhindwa,mana mliyasema hayo kule lushoto wakati kisandu amegombea mwaka 2010,leo umeadmit hana uwezo kushinda ubunge,umeclear doubt ya uwongo wenu cdm.mevurugwa kwakweli...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kisandu afunguka: Nitaisapoti CHADEMA jimbo la Lushoto

    We nawe mzaliwa wa wp, mana kila jimbo kwenu,unahaha kama mtoto asiye na makazi.unaijua demokrasia ww,ungekuwa unamtaja slaa kama mgombea wakati mchakato haujaanza.unafiki hauna siri kama hivi unaumbuka...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwai Kibaki awadharau watanzania!

  9. S

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Sera ya Majimbo ya CHADEMA siri ya Maendeleo

    Hakuna sera mbaya kwa sasa kama hyo, mngesema kiutawala walao mngeeleweka ila la kwamba raslimali za sehemu husika zinufaishe kwanza zilipo ni upuuzi wa hali ya juu.hyo lami ilokwenda kwenu huko haikujengwa kwa mapato ya mlima au utalii pekee,ni pamoja na kodi ya korosho za mtwara na tumbaku ya...
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta withdraws from 2nd Presidential debate.

    Mi hata sijui siasa za kenya lakini nataman sana UHURU ashinde japo sina sababu kwakuwa siwafahamu wote...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Alekuwa Akiendesha Vipindi vya Watoto ITV miaka ya 90?

    Ed anafanya kazi NBC headquarterz pale, kitengo cha mahusiano nadhani...amekuwa na tayari ameoa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Old Bagamoyo Road yabatizwa 'Mwai Kibaki Road'

    Pengine ni kujenga uhusiano mwema na nchi jirani lakin kitendo cha kuipa jina la MWAI KIBAKI barabara ilokuwa inaitwa old bagamoyo road ni kama fedheha kwa Rais mstaafu MKAPA ambaye alifanya mengi kwa nchi <licha ya mabaya yake> Hususan katika ujenzi wa barabara za lami. Nadhan ingekuwa busara...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hadi Fredwah kasepa RFA

    Niaje vyombo vya habari, walianza tanzania daima,wamefata RFA cjui watakuja kina nani,
  14. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania Daima hatarini kufungiwa...!

Back
Top Bottom