John Mnyika: Sera ya Majimbo ya CHADEMA siri ya Maendeleo

Japo kwa juu juu kwa namna ninavyojua:
Nia ya sera ya majimbo ni kuhakikisha kuwa rasilimali za sehemu husika kipaumbele chake ni kuwanufaisha wananchi wa maeneo (jimbo) husika.

Kama eneo hilo lina madini kwa mfano, basi 100% ya mapato ya mrabaha+60% ya kodi ya serikali itakayotokana na madini hayo inabaki katika jimbo ambalo madini hayo yapo. 40% iliyobaki katika kodi ya serikali ndiyo inakwenda serikali kuu kwa ajili ya mipango ya kitaifa.

Kwa kufanya hivyo itafanikisha kuharakisha maendeleo katika maeneo husika na maeneo hayo kufaidi rasilimali zao moja kwa moja na taifa nalo litafaidi sehemu ya mchango wa rasilimali hiyo lakini si kwa kiwango kile wanachofaidi wale wa maeneo rasilimali hiyo inapotoka.

Lakini vilevile maajimbo yatakuwa na serikali yake, yaani mamlaka yake ya kujitawala hivyo kupunguza kila kitu kuamriwa na serikali kuu, kwani wao watakuwa na bajeti yao inayojitegemea na sheria zao za kujitawala. Kwa kifupi ni mfumo wa kuleta madaraka karibu na wananchi tofauti na utaratibu wa sasa ambapo kila kitu kinaamriwa Dar es Salaam.

Na hapa ieleweke wazi (maana wengine wameshaanza kupotosha), kwamba ni vigumu kusema kuwa majimbo mengine yatakuwa tajiri na mengine masikini.

Ukiangalia Jimbo la Ziwa Magharibi kwa mfano; kuna madini ya kutosha, kuna rasilimali ya ziwa victoria, kuna ardhi inayofaa kwa kilimo, mifugo...n.k.

Jimbo la Kaskazini lenyewe lina utajiri wa rasilimali za utalii na wanyamapori, kilimo, ufugaji...n.k

Jimbo la Magharibi; kuna Ziwa Tanganyika, kilimo cha asali, kilimo cha mazao ya chakula na biashara n.k.

Na majimbo mengine nayo yana rasilimali za kipekee kulinganisha na majimbo mengine. Hivyo hakuna jimbo ambalo litakuwa maskini kama wengine wanavyotaka kupotosha.

Cha muhimu ni kuziona hizo fursa na kuwawezesha wananchi wa majimbo husika kuzitumia hizo fursa. Na hii inawezekana kama tutapunguza ukubwa wa serikali kuu kwa kupeleka mamlaka karibu na wananchi kwa mtindo huu wa Serikali ya Majimbo au Kanda.

Mfumo huu utafanya kazi kama unavyoona mfumo wa majimbo wa nchi ya Marekani.
 
ngoja wakuweke link ya hayo maelezo, wewe ni mvivu wa kutafuta
 
Hakuna sera mbaya kwa sasa kama hyo, mngesema kiutawala walao mngeeleweka ila la kwamba raslimali za sehemu husika zinufaishe kwanza zilipo ni upuuzi wa hali ya juu.hyo lami ilokwenda kwenu huko haikujengwa kwa mapato ya mlima au utalii pekee,ni pamoja na kodi ya korosho za mtwara na tumbaku ya tabora.wakabila wakubwa mutuache msiivuruge nchi zaid ya ilivyo hapa...
 
mkuu yaani upo burundi au kenya? Tanzania gani isiyovurugika? Tanzania ilikuwa zamani,leo kikwete anampa kawambwa uwaziri wa elimu kwa kuwa ni mtu wa bagamoyo. Amka usingizini ndugu!
 
hakuna sera mbaya kwa sasa kama hyo, mngesema kiutawala walao mngeeleweka ila la kwamba raslimali za sehemu husika zinufaishe kwanza zilipo ni upuuzi wa hali ya juu.hyo lami ilokwenda kwenu huko haikujengwa kwa mapato ya mlima au utalii pekee,ni pamoja na kodi ya korosho za mtwara na tumbaku ya tabora.wakabila wakubwa mutuache msiivuruge nchi zaid ya ilivyo hapa...

''o'' 60%
 
Hakuna sera mbaya kwa sasa kama hyo, mngesema kiutawala walao mngeeleweka ila la kwamba raslimali za sehemu husika zinufaishe kwanza zilipo ni upuuzi wa hali ya juu.hyo lami ilokwenda kwenu huko haikujengwa kwa mapato ya mlima au utalii pekee,ni pamoja na kodi ya korosho za mtwara na tumbaku ya tabora.wakabila wakubwa mutuache msiivuruge nchi zaid ya ilivyo hapa...

Mapovu ya nini sasa ! Huko unakosema kwenu ni kwa akina nani na ni wapi ? Dhambi ya Ubaguzi itakumaliza wewe na kizazi chako , Shame on you !
 
Yalishatolewa humu mara kadhaa na kamanda mnyika na wengineo!labda kama siyo mfuatiliaji na sidhani hata kama wakiweka kama utafuatilia na kuelewa!kwa wewe mwenye access ya internet ningetegemea ushauri elimu hyo kutolewa vijijini!

Sikiliza Dik! Usianze kuhukumu kwamba hiyo sera ikiwekwa hapa eti sitafuatilia wala kuelewa! Naihitaji sana hiyo sera kwa sababu kuna wazee hapa kijijini wanataka kufahamu inasema nini.Na kusema kweli mzee mmoja mwelewa ambaye mtoto wake kaambulia 0 katika mitihani yake ya form iv ananiuliza:'Jirani eee? Sera ya elimu ya chadema inasemaje?'

Kwa hiyo Dik, hali ilivyo ni kwamba wala sio mimi tu nina hamu ya kufahamu sera ya majimbo ila kuna watu wanahitaji kufahamu sera zote za chadema katika nyanja zote za uchumi na maendeleo. Kazi kwenu viongozi wa chadema mlio kwenye m4c na jf.
 
Kuna mmoaja kakuwekea hapo juu mkuu...
 
Wakuu,

Ridhaa ya chama chochote cha siasa chenye dhamira ya kutwaa dola na kuwaonyesha njia wananchi wake ni lazima wakubali kuwa ridhaa hiyo inatokana na misingi iliyowekwa kwenye katiba ya JMT pamoja na mapungufu yake.Ukisoma ibara ya 8(1)(a) utaona kuwa wananchi ndiyo msingi wa mamlaka wa mamlaka yote,na serikali itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa katiba hii.Pia utaona kuwa (b) kinasema lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa wananchi.(c)serikali itawajibika kwa wananchi.

Pamoja na mapungufu yaliyomo ndani ya katiba ya JMT bado katiba hii inamlinda mwananchi huyu juu ya haki zake za msingi ikiwa ni pamoja na serikali kudumisha ustawi wa wananchi.Serikali yetu imekuwa ikienda kinyume na wakati mwingine ikivunja katiba makusudi kwa kuwa tu imekuwa kinara kwa kuhakikisha wananchi hawaijui katiba yao vilivyo kiasi cha kutohoji kinachotokea na kinachofanywa na serikali hii sikivu.

Unapozungumzia serikali ya majimbo,unazungumzia ukasimishaji wa madaraka kwa wananchi,kimantiki hata ile dhana ya lengo kuu la serikali kama lilivyotamkwa kwenye katiba juu ya ustawi wa wananchi hapo ndipo unapoonekana.Hatuwezi kuwa na serikali inayowanyang'anya wananchi mali zao(ardhi) na kuwapa wageni kwa kuwa tu madaraka ya nchi hii yapo juu ya serikali kuu.

Unapozungumzia serikali ya majimbo ina maana ya kwamba rasilimali za wananchi ndizo zitakazo wanufaisha mwananchi wenyewe kwanza kuliko hivi sasa serikali imekuwa pango la kudalalia rasilimali za wanyonge.Kuna miji ambayo imeathirika kutokana na kutokuwa na serikali za majimbo kwa kuwa tu zimedumazwa na watawala kwa makusudi na uchumi wa sehemu husika ukijenga sehemu nyingine.Angalia leo mkoa wa Shinyanga ambako kila aina ya madini yanapatikana,lakini mkoa huu upo nyuma kimaendeleo,kiuchumi,kiafya na kielimu pia kinyume kabisa na mikoa kama kagera,Kilimanjaro,Mbeya na kwingineko kote huko.

Watawala wanaumia sana kichwa kutokana na mfumo wa serikali ya majimbo kwakuwa tu ulaji unakwenda kukatika,tunataka tuijenge TANZANIA yenye sifa zinazoendana na rasilimali zake.Wananchi kwa kuwa ndiyo wenye mamlaka ya kutoa madaraka na mamlaka,nashauri sera hiyo ya majimbo tuikubali kwa moyo mkunjufu na ikibidi iingizwe kwenye katiba mpya ya JMT katika ujenzi wa Tanzania tuitakayo.

Serikali ya majimbo ndiyo pekee itayoweza kuzisimamia rasilimali zetu kama ilivyobainishwa na katiba ya JMT ibara ya 28(1)-Kila raia ana wajibu wa kulinda,kuhifadhi na kudumisha uhuru,mamlaka,ardhi na umoja wa taifa.Leo nchi inamegwa kwa maamuzi ya wachache bila kujali kuwa tuna wajibu wa kuilinda nchi yetu na kuzitumia maliasili zetu kwa faida ya taifa.

Ni muda sasa wa wananchi kujipima na kufanya maamuzi magumu ambayo ni mwiba mchungu kwa watawala ambao rasilimali za Watanzania wamezifanya na kuziita kasungura kadogo ilihali wakigawana na kuitafuna nchi yetu pasi na huruma.Tunataka kodi inayo kusanywa takribani bilioni 900 hadi tilioni 1 zilete tija na kufungua uchumi kwa Watanzania miongoni mwetu vinginevyo makusanyo hayo hayana tija.

TUKIAMUA KWA DHATI TUNAWEZA,KATU TUMECHOSHWA KUFANYWA MBUZI WA KAFARA.
 
tayari sera yenu imeshafeli huko kenya ODINGA chali
 
Ni kweli ndugu,sera ya majimbo imesaidia sehemu nyingi sana.viva chadema kwa wazo zuri.asutetaka aache.
wakuu,

ridhaa ya chama chochote cha siasa chenye dhamira ya kutwaa dola na kuwaonyesha njia wananchi wake ni lazima wakubali kuwa ridhaa hiyo inatokana na misingi iliyowekwa kwenye katiba ya jmt pamoja na mapungufu yake.ukisoma ibara ya 8(1)(a) utaona kuwa wananchi ndiyo msingi wa mamlaka wa mamlaka yote,na serikali itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa katiba hii.pia utaona kuwa (b) kinasema lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa wananchi.(c)serikali itawajibika kwa wananchi.

Pamoja na mapungufu yaliyomo ndani ya katiba ya jmt bado katiba hii inamlinda mwananchi huyu juu ya haki zake za msingi ikiwa ni pamoja na serikali kudumisha ustawi wa wananchi.serikali yetu imekuwa ikienda kinyume na wakati mwingine ikivunja katiba makusudi kwa kuwa tu imekuwa kinara kwa kuhakikisha wananchi hawaijui katiba yao vilivyo kiasi cha kutohoji kinachotokea na kinachofanywa na serikali hii sikivu.

Unapozungumzia serikali ya majimbo,unazungumzia ukasimishaji wa madaraka kwa wananchi,kimantiki hata ile dhana ya lengo kuu la serikali kama lilivyotamkwa kwenye katiba juu ya ustawi wa wananchi hapo ndipo unapoonekana.hatuwezi kuwa na serikali inayowanyang'anya wananchi mali zao(ardhi) na kuwapa wageni kwa kuwa tu madaraka ya nchi hii yapo juu ya serikali kuu.

Unapozungumzia serikali ya majimbo ina maana ya kwamba rasilimali za wananchi ndizo zitakazo wanufaisha mwananchi wenyewe kwanza kuliko hivi sasa serikali imekuwa pango la kudalalia rasilimali za wanyonge.kuna miji ambayo imeathirika kutokana na kutokuwa na serikali za majimbo kwa kuwa tu zimedumazwa na watawala kwa makusudi na uchumi wa sehemu husika ukijenga sehemu nyingine.angalia leo mkoa wa shinyanga ambako kila aina ya madini yanapatikana,lakini mkoa huu upo nyuma kimaendeleo,kiuchumi,kiafya na kielimu pia kinyume kabisa na mikoa kama kagera,kilimanjaro,mbeya na kwingineko kote huko.

watawala wanaumia sana kichwa kutokana na mfumo wa serikali ya majimbo kwakuwa tu ulaji unakwenda kukatika,tunataka tuijenge tanzania yenye sifa zinazoendana na rasilimali zake.wananchi kwa kuwa ndiyo wenye mamlaka ya kutoa madaraka na mamlaka,nashauri sera hiyo ya majimbo tuikubali kwa moyo mkunjufu na ikibidi iingizwe kwenye katiba mpya ya jmt katika ujenzi wa tanzania tuitakayo.

Serikali ya majimbo ndiyo pekee itayoweza kuzisimamia rasilimali zetu kama ilivyobainishwa na katiba ya jmt ibara ya 28(1)-kila raia ana wajibu wa kulinda,kuhifadhi na kudumisha uhuru,mamlaka,ardhi na umoja wa taifa.leo nchi inamegwa kwa maamuzi ya wachache bila kujali kuwa tuna wajibu wa kuilinda nchi yetu na kuzitumia maliasili zetu kwa faida ya taifa.

Ni muda sasa wa wananchi kujipima na kufanya maamuzi magumu ambayo ni mwiba mchungu kwa watawala ambao rasilimali za watanzania wamezifanya na kuziita kasungura kadogo ilihali wakigawana na kuitafuna nchi yetu pasi na huruma.tunataka kodi inayo kusanywa takribani bilioni 900 hadi tilioni 1 zilete tija na kufungua uchumi kwa watanzania miongoni mwetu vinginevyo makusanyo hayo hayana tija.

tukiamua kwa dhati tunaweza,katu tumechoshwa kufanywa mbuzi wa kafara.
 
Wakuu,

Ridhaa ya chama chochote cha siasa chenye dhamira ya kutwaa dola na kuwaonyesha njia wananchi wake ni lazima wakubali kuwa ridhaa hiyo inatokana na misingi iliyowekwa kwenye katiba ya JMT pamoja na mapungufu yake.Ukisoma ibara ya 8(1)(a) utaona kuwa wananchi ndiyo msingi wa mamlaka wa mamlaka yote,na serikali itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa katiba hii.Pia utaona kuwa (b) kinasema lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa wananchi.(c)serikali itawajibika kwa wananchi.

Pamoja na mapungufu yaliyomo ndani ya katiba ya JMT bado katiba hii inamlinda mwananchi huyu juu ya haki zake za msingi ikiwa ni pamoja na serikali kudumisha ustawi wa wananchi.Serikali yetu imekuwa ikienda kinyume na wakati mwingine ikivunja katiba makusudi kwa kuwa tu imekuwa kinara kwa kuhakikisha wananchi hawaijui katiba yao vilivyo kiasi cha kutohoji kinachotokea na kinachofanywa na serikali hii sikivu.

Unapozungumzia serikali ya majimbo,unazungumzia ukasimishaji wa madaraka kwa wananchi,kimantiki hata ile dhana ya lengo kuu la serikali kama lilivyotamkwa kwenye katiba juu ya ustawi wa wananchi hapo ndipo unapoonekana.Hatuwezi kuwa na serikali inayowanyang'anya wananchi mali zao(ardhi) na kuwapa wageni kwa kuwa tu madaraka ya nchi hii yapo juu ya serikali kuu.

Muwe mnatafuta ushauri kutoka kwa serious scholars kwenye hivi vitu (na wataalamu wa haya maswala), na si kudandia tu treni kwa mbele. Sasa njia ya kupeleka/kurudihsa maamuzi kwa wananchi ni kupitia sera ya majimbo tu pekee au unataka kusema kokote duniani without federal states people's local concerns are not met.

Decentralization iana maana ni kupitia majimbo tu (inaonekana mmekaririshwa hivyo), hata kwenye unitary states decentralization is a necessity and it works pretty much as in federal states only on this nations the process is referred to as devolution.

Depending on the history of the nation, some areas/regions might go as far as to having their own parliament (such as Scotland and N.Ireland under UK) not to mention vast local councils who are responsible for initiating local policies and implementing them.

Inaweza ikawa kuna tatizo ya kuwa maamuzi yanatoka mbali na kutowashirikisha local people, lakini sera ya majimbo ndio muarobaini kweli?

Sera ya majimbo ni kuligawa taifa, na kuanza kuyaongeza matatizo ya tanzania kuliko itakavyo yapunguza, ka nchi cheneyewe kamejarabiwa na few ideological demagogues kidogo taifa litoane macho, leo mntaka sera za majimbo do you know what troubles your looking for in the future.
 
Wakuu,

Ridhaa ya chama chochote cha siasa chenye dhamira ya kutwaa dola na kuwaonyesha njia wananchi wake ni lazima wakubali kuwa ridhaa hiyo inatokana na misingi iliyowekwa kwenye katiba ya JMT pamoja na mapungufu yake.Ukisoma ibara ya 8(1)(a) utaona kuwa wananchi ndiyo msingi wa mamlaka wa mamlaka yote,na serikali itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa katiba hii.Pia utaona kuwa (b) kinasema lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa wananchi.(c)serikali itawajibika kwa wananchi.

Pamoja na mapungufu yaliyomo ndani ya katiba ya JMT bado katiba hii inamlinda mwananchi huyu juu ya haki zake za msingi ikiwa ni pamoja na serikali kudumisha ustawi wa wananchi.Serikali yetu imekuwa ikienda kinyume na wakati mwingine ikivunja katiba makusudi kwa kuwa tu imekuwa kinara kwa kuhakikisha wananchi hawaijui katiba yao vilivyo kiasi cha kutohoji kinachotokea na kinachofanywa na serikali hii sikivu.

Unapozungumzia serikali ya majimbo,unazungumzia ukasimishaji wa madaraka kwa wananchi,kimantiki hata ile dhana ya lengo kuu la serikali kama lilivyotamkwa kwenye katiba juu ya ustawi wa wananchi hapo ndipo unapoonekana.Hatuwezi kuwa na serikali inayowanyang'anya wananchi mali zao(ardhi) na kuwapa wageni kwa kuwa tu madaraka ya nchi hii yapo juu ya serikali kuu.

Unapozungumzia serikali ya majimbo ina maana ya kwamba rasilimali za wananchi ndizo zitakazo wanufaisha mwananchi wenyewe kwanza kuliko hivi sasa serikali imekuwa pango la kudalalia rasilimali za wanyonge.Kuna miji ambayo imeathirika kutokana na kutokuwa na serikali za majimbo kwa kuwa tu zimedumazwa na watawala kwa makusudi na uchumi wa sehemu husika ukijenga sehemu nyingine.Angalia leo mkoa wa Shinyanga ambako kila aina ya madini yanapatikana,lakini mkoa huu upo nyuma kimaendeleo,kiuchumi,kiafya na kielimu pia kinyume kabisa na mikoa kama kagera,Kilimanjaro,Mbeya na kwingineko kote huko.

Watawala wanaumia sana kichwa kutokana na mfumo wa serikali ya majimbo kwakuwa tu ulaji unakwenda kukatika,tunataka tuijenge TANZANIA yenye sifa zinazoendana na rasilimali zake.Wananchi kwa kuwa ndiyo wenye mamlaka ya kutoa madaraka na mamlaka,nashauri sera hiyo ya majimbo tuikubali kwa moyo mkunjufu na ikibidi iingizwe kwenye katiba mpya ya JMT katika ujenzi wa Tanzania tuitakayo.

Serikali ya majimbo ndiyo pekee itayoweza kuzisimamia rasilimali zetu kama ilivyobainishwa na katiba ya JMT ibara ya 28(1)-Kila raia ana wajibu wa kulinda,kuhifadhi na kudumisha uhuru,mamlaka,ardhi na umoja wa taifa.Leo nchi inamegwa kwa maamuzi ya wachache bila kujali kuwa tuna wajibu wa kuilinda nchi yetu na kuzitumia maliasili zetu kwa faida ya taifa.

Ni muda sasa wa wananchi kujipima na kufanya maamuzi magumu ambayo ni mwiba mchungu kwa watawala ambao rasilimali za Watanzania wamezifanya na kuziita kasungura kadogo ilihali wakigawana na kuitafuna nchi yetu pasi na huruma.Tunataka kodi inayo kusanywa takribani bilioni 900 hadi tilioni 1 zilete tija na kufungua uchumi kwa Watanzania miongoni mwetu vinginevyo makusanyo hayo hayana tija.

TUKIAMUA KWA DHATI TUNAWEZA,KATU TUMECHOSHWA KUFANYWA MBUZI WA KAFARA.

Mada kama hii imejadiliwa sana humu, kuirudia rudia ni kile kinachoitwa KIZURI CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA. hamuoni kuwa sera hii haiuziki jamani mambo gani mnayotaka kuwaletea watanzania?
 
Si bora hilo taifa ligawanyike kuliko kulikusanya pamoja kwa manufaa ya ulaji wa wachache
 
huko ni sawa na kumwambia mwanafunzi ni bora achukue nyenzo kuliko kufeli. Life doenst work like that unachotakiwa kumshauri ni kupigana na masomo hili afaulu.

Vilevile binadamu wana namna zao kuishi katika jamii zao, kwa maana hiyo sera ya majimbo might bring anarchism in the future if those who are selling the idea, miss even a single joint of our social structure (that is Tz's and not anywhere else, these things are determined by to society to society and people living in different societies do differ). Na kwa hali ya sasa, sera ya majimbo bado sana kwetu.
 
Muwe mnatafuta ushauri kutoka kwa serious scholars kwenye hivi vitu (na wataalamu wa haya maswala), na si kudandia tu treni kwa mbele. Sasa njia ya kupeleka/kurudihsa maamuzi kwa wananchi ni kupitia sera ya majimbo tu pekee au unataka kusema kokote duniani without federal states people's local concerns are not met.

Decentralization iana maana ni kupitia majimbo tu (inaonekana mmekaririshwa hivyo), hata kwenye unitary states decentralization is a necessity and it works pretty much as in federal states only on this nations the process is referred to as devolution.

Depending on the history of the nation, some areas/regions might go as far as to having their own parliament (such as Scotland and N.Ireland under UK) not to mention vast local councils who are responsible for initiating local policies and implementing them.

Inaweza ikawa kuna tatizo ya kuwa maamuzi yanatoka mbali na kutowashirikisha local people, lakini sera ya majimbo ndio muarobaini kweli?

Sera ya majimbo ni kuligawa taifa, na kuanza kuyaongeza matatizo ya tanzania kuliko itakavyo yapunguza, ka nchi cheneyewe kamejarabiwa na few ideological demagogues kidogo taifa litoane macho, leo mntaka sera za majimbo do you know what troubles your looking for in the future.

Kuna decentralization za aina nne ndugu yangu hata ile iliyo fail Tanzania mwaka 1972 ilikua ni Decentralization by centralization ambayo ni kama hadi leo ipo kwani wananchi wanapanga ila maamzi yote yanatoka juu (Katika Central Government), hebu angalia D by D (Decentralization by Devolution) ina faa na itakuwa implemented vilahisi katika mazingira gani? Jibu utakalo pata ni kupitia sera ya majimbo. Karibu kwa mjadala
 
Muwe mnatafuta ushauri kutoka kwa serious scholars kwenye hivi vitu (na wataalamu wa haya maswala), na si kudandia tu treni kwa mbele. Sasa njia ya kupeleka/kurudihsa maamuzi kwa wananchi ni kupitia sera ya majimbo tu pekee au unataka kusema kokote duniani without federal states people's local concerns are not met.

Decentralization iana maana ni kupitia majimbo tu (inaonekana mmekaririshwa hivyo), hata kwenye unitary states decentralization is a necessity and it works pretty much as in federal states only on this nations the process is referred to as devolution.

Depending on the history of the nation, some areas/regions might go as far as to having their own parliament (such as Scotland and N.Ireland under UK) not to mention vast local councils who are responsible for initiating local policies and implementing them.

Inaweza ikawa kuna tatizo ya kuwa maamuzi yanatoka mbali na kutowashirikisha local people, lakini sera ya majimbo ndio muarobaini kweli?

Sera ya majimbo ni kuligawa taifa, na kuanza kuyaongeza matatizo ya tanzania kuliko itakavyo yapunguza, ka nchi cheneyewe kamejarabiwa na few ideological demagogues kidogo taifa litoane macho, leo mntaka sera za majimbo do you know what troubles your looking for in the future.

Uoga ni dhambi,whats lead Tanzanian is fearfulness amongst us, hapo kwenye red inadhihirisha how we are.blue inaonyesha jinsi gani tunakimbilia kwenye udini na ukabila lakini kwenye hayo majimbo hakuna mchanganyiko?Uoga huo wa nini ikiwa Watanzania intermarriage ni kubwa sana bila kujali dini zetu wala makabila yetu.Cha msingi rasilimali za Watanzania lazima zitumike kwa Watanzania.
 
Mada kama hii imejadiliwa sana humu, kuirudia rudia ni kile kinachoitwa KIZURI CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA. hamuoni kuwa sera hii haiuziki jamani mambo gani mnayotaka kuwaletea watanzania?

kwa magamba hakubaliki ila kwa Watanzania wanyonge ndiyo mkombozi wao.
 
huko ni sawa na kumwambia mwanafunzi ni bora achukue nyenzo kuliko kufeli. Life doenst work like that unachotakiwa kumshauri ni kupigana na masomo hili afaulu.

Vilevile binadamu wana namna zao kuishi katika jamii zao, kwa maana hiyo sera ya majimbo might bring anarchism in the future if those who are selling the idea, miss even a single joint of our social structure (that is Tz's and not anywhere else, these things are determined by to society to society and people living in different societies do differ). Na kwa hali ya sasa, sera ya majimbo bado sana kwetu.

Hata Roma haikujengwa kwa siku moja,ni lini Tanzania itasimama ikaamua mambo yake bila kuamuliwa na wahisani.Leo CDM wanasema wanabezwa lakini Marekani akisimama akatamka tunafyata mkia,tusiwe watumwa wa kila jambo japokuwa sisi si wa kwanza kulianzisha.Kwa msingi ule ule wa Uanzishwaji wa vyama vingi tulithubutu na tumepiga hatua bila vita sembuse hili?Hatuwezi Kuinua uchumi wetu na kukuza nchi yetu kwa mashinikizo toka kwa mabwana wakubwa.
 
Back
Top Bottom