Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,460
- Thread starter
- #81
Yupo tom chilala anko tom
Kumbe Rahab ananyanyaswa jamani....,,mbona pole yake mimi nilisikia ni mlevi sana tena linamnyanyasa mke nimeshamchukia .........."huyu kaka namjua sana,ana tabia chafu na anamnyanyasa sana mke wake tena hata kumpiga.licha ya hayo anatabia chafu na kulewa kupita kias pia.mengne ngoja niache nisije pigwa ban.i wish tabia yake ingekuwa nzur kama kipaj chake
Hebu wandugu nisaidieni frequency za Times fm maana hii sasa inaonekana ndio redio ya kitaa na siyo tena ile redio iliyojaa mashoga ya clouds.
huyu kaka namjua sana,ana tabia chafu na anamnyanyasa sana mke wake tena hata kumpiga.licha ya hayo anatabia chafu na kulewa kupita kias pia.mengne ngoja niache nisije pigwa ban.
i wish tabia yake ingekuwa nzur kama kipaj chake
eeba nae,sasa inakuwaje tena manake yule ndiye kinara wa RFA
sasa kuna yule mkongo zuberi ndiye wanamtumia kwa kila kitu
hawezi kukataa kwa sababu akifukuzwa inabidi arudi kwao kongo
Aisee RFA kuna nini wajameni?