Recent content by sss

  1. S

    Rostam Aziz afiwa na baba yake mzazi Leo

    Haina Haja kumchamba mfiwa.Hivi sasa ni wakati wa huzuni kwa wafiwa.Kwa dini au Imani yeyote Hivi sasa tunatakiwa kumuombea Marehemu Mwenyenzi MUNGU amlaze mahali pema.Kifo kila mtu kitamfikia.R.I.P. MZEE AZIZ
  2. S

    Rostam hayupo, mbona shida ziko pale pale?

    Nafikiri bora tumfanye Dr Mwakembe awe rais ,Tanzania tutakuwa hatuna shida yeyote pamoja mbu na umaskini utaondoka.:poa
  3. S

    Huyu ni nani? Abdulhakim Mulla - katika biashara ya Usafirishaji wanyama...

    Hebu tumtendee haki huyu Bwana.Sasa RA amewaachia nchi,sasa kwa nini bado anatajwa?Kama kweli huyo Mulla Jambazi,kwa nini hatumpeleki mahakamani.Acheni majungu yenu na ubaguzi.Mwenyezi Mungu haradhi,semeni ukweli.Loh!!!!!!
  4. S

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Umesahau na Tahiti,French Polynesia,n.k.
  5. S

    GE2010 Waliitwa wapiganaji ndani ya CCM, mbona hawako vitani Igunga?

    Hao wote watu wa maslahi.Unategemea nini kutoka kwao?Hawa ndio wanaweza kulinda haki ya Watanzania?????Inasikitisha sana.Tanzania baadaye itakuwa kama Nigeria.....
  6. S

    GE2010 Shy-Rose Bhanji ..na mtazamo wake huko Igunga

    Kweli Maneno yako.Lakini huyu Dada ana cheo gani CCM??
  7. S

    GE2010 Igunga: Nani ataibuka kidedea kati ya hawa?

    Maisha mapya acha ubaguzi wa rangi,umepitwa na wakati.
  8. S

    Ni nani huyu - Mwanamboka?

    Ni TELEX "MBOKA".
  9. S

    Waraka wa siri kwa wana Igunga

    Gugwe,kama alivosema Mzee wa Mawe ...Huo ufisadi wa Rostam ulitoka wapi? Hayo mambo yenu ya kiswahili na yasyo na msingi wa kitu chochote.Mimi ni Mtanzania kuliko wewe Gugwe.Hata kama naishi nje Tanzania ni nchi yangu.Mkoa wa Tabora naujua vizuri.Igunga kabla ya Rostam Aziz ilikuwa wilaya ya...
  10. S

    Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

    # 4 Dr Slaa ---Jizi namba moja. # 5 Dr Mwakyembe ( Assistant jizi) namba moja kwa uwongo.....List iendelee............
  11. S

    Nyerere hakuwahi kupata tunzo ya Nobel

    When I was younger I thought this man was useless and a real socialist. However looking back today I feel and I know that he was a very honest person. If he had the support of Western Countries, Tanzania would have been very far today. He was the only honest leader we ever had. He didn't take...
  12. S

    Inaudhi: JK - sijui kwanini Tanzania haina viwanda kama Japani...

    Kwa sababu wavivu na wanataka hela haraka haraka kabla ya kufanya kazi:disapointed:
  13. S

    Rostam awaparamia CHADEMA

    Dr Slaa akiwa Rais,Tanzania itakuwa kama Zimbabwe:embarassed2:
  14. S

    Rostam azizi mchimba madini adhimu (almasi-mwadui) Tanzania.

    Lakini Fredmlay unazungumzia nini? Wizi gani? Hio biashara. Kama RA mwizi wa mali ya umma, basi viongozi wote wa serikali wezi. Kwa nini hawatajwi? Mmekalia RA RA mtachoka kama alivyochoka Dr Mwakyembe na Anna Kilango na wengineo. Nashangaa mtu kama Anna Kilango kuwa mbunge. Mchunguzeni...
Back
Top Bottom