Inaudhi: JK - sijui kwanini Tanzania haina viwanda kama Japani... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inaudhi: JK - sijui kwanini Tanzania haina viwanda kama Japani...

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by only83, Apr 1, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Akitembelea Wizara ya Viwanda na biashara,JK ameendelea kutoa kauli zake zenye mzaha na kutia hasira aliposema ati hajui kwanini Tanzania yenye maliasili mbalimbali zenye kufaha kutumika kama malighafi kwenye viwanda haina viwanda hivyo,aliendelea kusema Japan na Indonesia hazina malighafi lakini wana viwanda sijui Tanzania kwanini haina viwanda...Kauli hii inanikumbusha kauli zifuatazo ambazo haliwai kuzitoa huko nyuma;

  1. Sijua kwanini watanzania ni maskini...
  2. Siwajui wamiliki wa Dowans...na sitaki kuwafahamu..
  Nadhani JK anaendelea na mzaha uleule wa kila siku....Inakera!!!!!

  source:Channel Ten News Bulletin
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  duuuuu!
   
 3. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2011
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  so sad kama ndo hivi
   
 4. comred

  comred JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 1,393
  Likes Received: 992
  Trophy Points: 280
  ingetakiwa cc 2mshangae yeye kwanini hajui..kwel inakera
   
 5. mwanakwetu

  mwanakwetu Member

  #5
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni kweli inakera! lakini ebu tumsaidie sasa basi maana huwenda yeye kweli anaumiza kichwa lakini hapati majibu......kuna wasomi wengi sana tunahitaji michango yao sababu Tanzania haitajengwa na JK pekee. JK kuwa rais haimaanishi kuwa yeye ndie mwenye akili kuliko wote nchini. Wasomi tuache ubinafsi sasa tusaidie nchi yetu. Wajenga nchi ni wananchi!
   
 6. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,167
  Likes Received: 1,171
  Trophy Points: 280
  kwa TZ mwana-siasa anajua kila kitu, mfano si ajabu kumwona mkuu wa mkoa ambaye ni mwanajeshi mstaafu akiwafundisha madaktari namna ya kujikinga na cholela inapotokea outbreak!
   
 7. only83

  only83 JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Mkuu tatizo JK asemi kama ameshindwa kuongoza...aseme wapo watu wanavitu vya maana kumsaidia.....ana mzaha usimtetee...
   
 8. mwanakwetu

  mwanakwetu Member

  #8
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Si kana kwamba najaribu kumtetea ila najaribu kufikiria kweli ni wapi tumekwama wakati rasilimali tunazo. Kama shida ni hawa wanasiasa tuwafanyeje sasa ili wasomi watumie taaluma zao kuiendeleza Tanzania yetu pendwa.
   
 9. s

  sss Member

  #9
  Apr 1, 2011
  Joined: Apr 27, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa sababu wavivu na wanataka hela haraka haraka kabla ya kufanya kazi:disapointed:
   
 10. S

  Salimia JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwanakwetu, well said.
  Nilipata kuongea huko nyuma kwamba wengi wetu humu tunakwenda kwa "matukio". Tunangoja JK aseme hiki basi ndo tulete hapa (shalllow thinking) au tunasubiri tuone Slaa kafanya nini tulete! Hatuna constructive ideas. Rais hawezi kujua kila kitu, kama wewe unajua, omba appointment atakusikiliza. Anayo namba watu humtumia meseji nk, sidhani akama ukimwandikia akaona una mawazo bora asikualike kuteta naye. JARIBU UONE.
  Lakini si ajabu kuona wengi wanamtusi tu bila kutoa mwongozo wowote. Kama alivyoandika mtoa mada ......Inakera!!!!!!
   
 11. C

  Clejah Member

  #11
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais aliye makini hawezi kuwa na majibu ya SIJUI katika mambo ya msingi. Kuna umakini unakosekana.

  Hakuna maendeleo pasipo kufanya mabadiliko.
   
 12. S

  Salimia JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mfano wewe kama wewe Clejah,, una maoni gani kwa hili? Ukipata fursa ya kuteta na Rais ya dak 5 utamwambia au utampa inputs gani kuhusu hili? Unalisemeaje hili kama Mtanzania ambaye nawe unatakiwa kushiriki kujenga nchi hata kwa mawazo kama haya?
   
 13. N

  NURFUS Member

  #13
  Apr 2, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi wasiwasi wangu ni pale baba anapokuwa haelewi kwa nini familia yake haindelei, kwa nini nasema baba maana anao watu kibao wa kumsaidia kwa namna yeyote ile sasa inapofikia kwamba haielewi hapo napata shida sana, kwamba ni kweli haelewei au ana mzaha maana tumemzoea kwa kuwa na mzaha, na hii ndio inatupa shida sana watanzania kama kiongozi mkubwa anapokuwa na mzaha katika mambo ya msingi me binafsi nasikitika sana. Na sijui anapokuwa anaongea anahisi anaongea na watoto vile, watu wanasikiliza hoja zake yeye analeta mzaha, inaumiza sana kuona yeye hajui namna ya kusaidia wananchi wote walioweka matumaini kwake alafu yeye ndio wakwanza kulalamika. Noo hii inaumiza sana.
   
 14. S

  Salimia JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  NURFUS:
  Wewe unaonekana umeguswa sana na nchi hii. Sasa, nini mchango au maoni yako katika hili kama mtanzania? Mchango hata wa sentensi mbili tu? Kulalamika peke yake hakutoshi. If you dont like something change it, if you cant change it, stop complaining. So give us your two cents on this?? Please?
   
 15. v

  vickitah Senior Member

  #15
  Apr 2, 2011
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Leo nimejitahidi kumsikiliza muheshimiwa ili nimuelewe lakin pia kuna mambo nimeshindwa kuelewa.. Kwanza kama unavyosema kuna vitu anavyotakiwa kujua pia hajui na pia anaongea kama yuko nje ya serikali.. yani kama mim mwanachi w kawaida na sio Rais mwenye mamlaka ya juu kabisa ya hii nchi. mi nadhani to dare is to do, he isnt daring then i think he cant do a lot of thngs.. kila siku tunaskia anatoa maagizo mbalimbali lakin hatuon kama yanafanyiwa kaz na hata kama yanafanyiwa ni mara chache au hamna yanafanyiwa kazi kama wananchi tunavyotaka. na hapa mi ndo huwa najiuliza muheshimiwa anatekeleza matakwa ya Wananchi au ya Walanchi!?
   
 16. G

  GJ Mwanakatwe JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hatuna viwanda kwa sababu akili zetu tumeziegemeza kwa wafadhili, kwamba hakuna kitu tunaweza kufanya bila wafadhili hasa wa nje kutusaidia. Nao wafadhili hata siku moja ng'o hawawezi kukusaidia kujenga viwanda kwa kuwa wanajua ukiwa na viwanda utaacha kuwategemea wao kwa kuwa wanapata faida kubwa sana kwa misaada uchwara wanayotupatia. Tz ina resources zote zinazohitajika na viwanda, shida ni wanasiasa wetu kukosa vision, hawajui wapi tunatoka na wapi tunatakiwa kwenda.
   
 17. h

  housta Senior Member

  #17
  Apr 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Are you serious about this post??Kwa hiyo kwa nini aligombea kuwa rais kama hajui matatizo ya Watanzania?Grow up na sio kutoa posts za kipumbavu.You are proving to be thinking like JK.AND THAT IS AN INSULT,AM SERIOUS ABOUT IT!\kwa hiyo unaona anayosema JK ni sahihi na uoga wake kwa mafisadi ni sawa kabisa?Nyie ndio wa kukataliwa kwenye nchi yetu.Na utakuta wewe ni mtu mzima tu mwenye kazi ya kuhitaji kufanya maamuzi magumu....Amazing!
   
 18. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,684
  Likes Received: 643
  Trophy Points: 280
  Rasilimali sio jibu.....technology ndio jibu
   
 19. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,684
  Likes Received: 643
  Trophy Points: 280
  Tanzania haina resources kama mnavyofikiri! Actually we don't even have technology to exploit the few resources we got!
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  Apr 2, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  labda tukubaliane kwanza tunapozungumzia "resources" tunazungumzia kitu gani maana naona kuna internal contradiction...
   
Loading...