Ni nani huyu - Mwanamboka?

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
jamani naoma mnipe data zaidi ya huyu jamaa anayejiita mwanamboka maana mm namuona ona tu sijui anafanya shghuli gani ila nasikia kuwa ni mmoja kati ya matajiri sana tz ss kama kuna mtu anamjua kiundani zaidi plz a share n ass
 
majina kufanana siyo lazima wafanane kiuchumi. unayetaka kumjua ni wa wapi, jinsia, umri au resume yake kwa ufupi ili tutofautishe
 
Mwanamboka gani unaemuulizia?Najua mwanamboka ambae alikuwa tajiri sana miaka ya 80 na 90 na karibuni na miaka ya 2000 ndio yule mwenye luku na like godown pale mapambano.Huyo ndio alikuwa tajiri sana.Na ana mtoto wake ambae yuko kwenye maswala ya mitindo(mwanamama) sijui jina lake.Je wewe unaongelea mwanamboka yupi?
 
unamuulizia Saad Mwanamboka?

Ukitaka ufaidi mwambie Mod aihamishe thread ipelekwe kwa Celebrities tumwage mboga
 
Mwanamboka ni ''nickname'' mwenyewe hasa akiitwa Saad Said Ally Services | Mwanamboka Hauliers LTD
huyu mzee ana mwanae wa kiume anaitwa nasoro kama sijakosea mara mwisho kumuona alikuwa anavuta madawa ya kulevya nakumbuka miaka ya nyuma alikuwa anasoma kinondoni muslim kimbweru!mabrazameni watoto wa kishua walikwa wanakuja shule na magari sasa huyu dogo kituko alichofanya siku moja alikuja na scania na trailer la babake shule parking yote akaimaliza yeye!mwalimu sharrif kwa hasira akapiga marufuku wanafunzi kwenda na magari shuleni!
 
Dah jina tu limenifanya nikumbuke utotoni.

Nakumbuka tukiwa watoto kila tunapoona gari scania 11 basi ilikuwa lazima tuiite kwa kuitaja ''wani wani mwanamboka'' huku tukishangiria basi madereve walikuwa wakituona tunavyo shangiria nao walikuwa na namna yao fulani ya upangaji na upanguaji wa gia yaani hapa na pale kaweka gia hapa na pale katoa gia. Basi sisi watoto ilikuwa burudani tosha..

Pia enzi naanza kulisiki hilo jina pia nilikuwa na sikia na jina jingine MASANTULA. Sikumbuki ni nani nawapi nililisikia jina hili ila ni enzi nasika MWANAMBOKA ndo enzi nasikia MASANTULA.
 
nilifikiri yule mwanamboka wa TBC1 wa kipindi cha AFRIKA 1.
 
shukrani kwa kutujuza!
Mwanamboka gani unaemuulizia?Najua mwanamboka ambae alikuwa tajiri sana miaka ya 80 na 90 na karibuni na miaka ya 2000 ndio yule mwenye luku na like godown pale mapambano.Huyo ndio alikuwa tajiri sana.Na ana mtoto wake ambae yuko kwenye maswala ya mitindo(mwanamama) sijui jina lake.Je wewe unaongelea mwanamboka yupi?
 
Mwanamboka na SCANIA 111 LBT ilikuwa noma miaka ya themanini. ile gari mkwara wake ilikuwa inapigwa gia tano kabla haijaanza kutembea ni vibuyu tuuu. Chikirintintiii chikirintintiii salisha weee hayo MAGOMA MOTO yapo kinondoni hahaaaaa tehe mdundiko huooo. MAGOMA MOTO John Lamba jamaa na yeye tajiri wa kufa mtuuuu
 
Dah kuna mshikaji anaitwa MANDWANGA, anamfahamu sana huyu mtoto wa mwanamboka anayeitwa Nassor kuwa ni mtu anayependa totoz sana lakini alipata mshangao kumuona mke wake ktk wimbo wa Diamond ule wa Mbagala na kuleta mtafaruku mkubwa ktk ndoa yao.
 
Jamani naomba kuwauliza swali linalonitatiza sana.

Miaka ile ya themanini wakati mi niko mdogo kule Kinondoni kulikuwa na tajiri mmoja mwenye magari mengi aina ya scania 111, jamaa mwenyewe alikuwa anaitwa MWANAMBOKA na mascania yake tulikuwa tunayaita mascania ya Mwanamboka.

Huyu jamaa ni maarufu sana Kinondoni pale, sasa miaka ya 2000's akaja akajitokeza binti mmoja anayeitwa KHADIJA MWANAMBOKA, sasa nauliza huyu Khadija Mwanamboka ni mwanawe au ni ndugu au ni jina tu limefanana? Maana huyu Khadija anaonekana ni mwarabu na yule mzee mwenyewe kama jina lake linavyoonyesha ni mswahili ila sijui ni wa mkoa gani wala kabila gani.

Hivyo jamani kwa yeyote yule mwenye kumjua huyu mzee atupe historia yake na ya familia yake mana alikuwa maarufu sana enzi hizo dsm.
 
Back
Top Bottom