Recent content by SpiderThy

  1. SpiderThy

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?

    Malila ni mjasiriamali, mkulima, mfugaji, ... Kwenye miti, mbao, nyanya , mbogamboga, uwekezaji mbalimbali,... yumo. Yuko active zaidi kule jukwaa la kilimo na mifugo.
  2. SpiderThy

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?

    Malila
  3. SpiderThy

    JamiiForums Tanzania Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

    Mulengera nadhani kastaafu 2014, 2015 au 2016 akarudi kwao Kigoma ambako ana kama ekari elfu moja pamoja na trekta nyingi and fuso kadhaa. Kaenda kujiajiri hasa kwenye kilimo.
  4. SpiderThy

    JamiiForums Tanzania Bora kufanya biashara kuliko kupoteza ada na muda chuo kikuu

    Mashamba Ruaha Mbuyuni na Dakawa wanauzaje kwa kila ekari? Unaweza kunikodishia Ruaha Mbuyuni ekari moja nilime nyanya?
  5. SpiderThy

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kujiunga chuo kikuu Huria kozi ya Sheria akupuo ya Julai 2019

    Kwa sasa hakun campus ya makao makuu, rather pale pembeni ya OUT Makao makuu ilipokuwa Biafra sec, ndio ilipo Kinondoni Regional Centre. So, kama uko Kinondoni au wilaya ya Ubungo, utashauriwa ukajisajili hapo.
  6. SpiderThy

    JamiiForums Tanzania Kumbe bado kuna Open Bar zinakesha mpaka Asubuhi

    Last Point na Laachz Sinza zinakesha ajue.
  7. SpiderThy

    JamiiForums Tanzania Ugali unaopikwa kwa Unga wa mahindi (dona) hatari kwa afya ya binadamu

    Hata kinu na mchi vinalika pia. Kubwa na mhm ni kutokutumia chakula cha aina moja na mara kwa mara i.e tuwe na kiasi. Kuna watu mihogo na viazi vitamu vimewapa kisukari maana walikuwa wanavitumia in exces! Digestion system pia hukataa baadhi ya vitu na kuvigeuza refusal na hivyo kupunguza...
  8. SpiderThy

    JamiiForums Tanzania Ugali unaopikwa kwa Unga wa mahindi (dona) hatari kwa afya ya binadamu

    Hata kinu na mchi vinalika pia. Kubwa na mhm ni kutokutumia chakula cha aina moja na mara kwa mara i.e tuwe na kiasi. Kuna watu mihogo na viazi vitamu vimewapa kisukari maana walikuwa wanavitumia in exces! Digestion system pia hukataa baadhi ya vitu na kuvigeuza refusal na hivyo kupunguza...
  9. SpiderThy

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Parachichi - Fahamu Aina, Namna ya Kulima na Masoko

    Okay. Thank you.
  10. SpiderThy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mengi alipata utajiri: Nimebaini sababu

    Unawajua wahindi kwenye CV zao! Kule kuna ushindani sana as waliosoma ni wengi. Hivyo kila mhindi huhakikisha CV yake inanona hasa kuwa marketable. Si ajabu kukuta mhindi mmoja ana digrii mbili, masters tatu,postgraduate diploma kadhaa, short courses nyingi sana na phd mbili! QUOTE="joseph1989...
  11. SpiderThy

    JamiiForums Tanzania Afya Ya Mengi Ilianza Kuzorota 2017

    Halafu tunarushiwa picha wako pamoja very close full matabasamu, kumbe wanalala vyumba tofauti!
  12. SpiderThy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

    Mapenzi ya ujanani na/au uchumbani si sawa na kwenye ndoa mke na mume. Mke na mume huwa hawana papara za kusimamia shoo nyavu sita karibu daily! As ni mali yako, kunakuwa hakuna papara hizo. Tofautisha kulala na mumeo/mkeo, na kulala na mtu mwingine. Lakini pia mnaweza kuwa na vitanda viwili...
  13. SpiderThy

    JamiiForums Tanzania Nilidhani ukiingia mbuga ya wanyama Unaona wanyama kirahisi kumbe napo tabu tupu

    Nenda serengeti. Utakimbia!
  14. SpiderThy

    JamiiForums Tanzania RC Makonda ammwagia sifa Mkuu wa Wilaya ya Pangani, atoa zawadi ya gari

    8m plus kabla ya marupurupu yoyote na night. Na hawakatwi kodi na kuna mapato ya huruma toka wananchi/wafanyabiashara/matajiri!
Back
Top Bottom