Afya Ya Mengi Ilianza Kuzorota 2017

Umeshaambiwa stroke alipata 2017 kwa hiyo alipona japo alibakia na athari za stroke ambazo mara nyingi mtu huishi nazo. Ni kweli alikuwa mdhaifu lakini si kiasi cha kushindwa kwenda holiday Zanzibar na Dubai. Hali yake ilikuwa stable na kifo chake ni kifo tu kama vifo vingine.
MUNGU awe mfariji mkuu kwa wanafamilia na watanzania kwa ujumla!
Sasa mgonjwa wa stroke umpeleke Zanzibar wiki hii wiki ijayo Dubai. Kuanguka akiwa peke yake ilhali yeye ni married man tena yuko holiday na mkewe.
 
Ila ukumbuke, wadanganyifu wengi,huamini kila aliyefanikiwa ni mdanganyifu! Mchawi akiumwa huamini amelogwa kama alivyologa wenzie wakaumwa.
Tafuta thread humu kuhusu NBC ilivyochomwa moto na kwa nini?
 
Waafrica tujifunze, tunanyonya nchi zetu zinabaki masikini, halafu tunafunga safari kwenda kula raha kwenye nchi zilizojinyima kwa ajili ya kujenga nchi zao.

Kwani alishindwa nini kwenda kupumzika hapo coco beach? Angepatwa na maswahiba housegirl angempigia simu Regina akawahi kumpeleka kwa prof Janabi siangepona!

Kuna taarifa alivyokula mweleka mara ya kwanza housegirl ndie aliyeokoa jahazi kwa kuita ambulence.
 
Mama mkubwa alikuwako akamuuguzaa
 
yaani ww unawaza kwa sauti kama ninavowaza mm, haiwezekani married man, awe chumba chake peke yake
Mmmh hapo napo pagumu aisee, ina maana walivyofika wife alikaa room yake na Mr room yake
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Awamu ya 5 imeshiriki katika kutatisha uhai wa watu mbali mbali..
Wapo wengi ndani ya awamu hii wanaishi kama nguruwe pori ama ngiri..
Papo hapo kuna wateule wachache na wenyeheri wengine wanajipa utukufu na kuishi kama malaika..!

Ila wafanye yote... Hakuna lenye mwanzo likakosa kuwa na mwisho... And in this case; mwisho mbaya!
 
Maneno mengi yanaongelewa Lakini ukweli ni kuwa stroke ya kwanza iliyoyumbisha afya ya Mzee ilitokea mwaka 2017 kwa sababu kuu mbili , kama mnakumbuka nikipindi hicho wafanyabiashara wengi akiwamo Mzee Bakhressa walipata msukosuko yeye akiwa mmoja wao , na wengine kama Mzee Mellou Mrema nk

Yeye pia alipata usumbufu Sana kwenye biashara zake ikiyopelekea kufunga migodi yake .

Zaidi yeye aliendelea kundamwa kutokana na kuwa na IPP Media ambayo ilikua imejikita kwenye utoaji habari bila kuogopa hii ilinsababishia usumbufu mkubwa Sana hata wa kupigiwa simu na kufokewa pale vyombo hivyo vilipoandika habari ambayo haikupendeza wakubwa

Ilumbukwe wako wafanyabiashara wengi wamekua wakipitia wakati mgumu sana wengine wako ndani ; wamefilisika; wanejiuwa; wana stroke na wamehama nchi au kuacha biashara .Tuwaombeee wote

Mungu ampe pumziko la Milele Amina
Ila hili jiwe siku yake ipo
 
Mkuu
Migodi ipi ya Mengi unayozungumzia hapa ?????

Hii taarifa yako imejikita katika kutafuta manufaa kisiasa, Wewe ni mhuni na mgonjwa wa siasa kwako kila tukio ni fursa ya kufanya politics.

Hebu acha watu waomboleze na wamzike mzee wao kwani alotenda kwa familia, jamii na nchi ni makubwa na yanaongea yenyewe. Hatutaki taarifa za kuumba umba hapa ziondoe watu kwenye maombolezo
Wacha udwanzi wewe, usimtishie mtu, hapo hakuna siasa, this is all borne out of curiosity kwa mtu wa status ya RAM kuteteleka ghafla, any curious mind worth a name lazima ihoji! Its all natural, usitake kumfanya kila mtu ni zwazwa au kulinda kisicholindika ! RAM was public property ndio maana kila mtu anamuomboleza. Wengi wana maswali mengi kichwani, kuomboleza goes in situ with a dynamic thought process. Bs
 
Tabubya vibabu kupenda vibinti kidogo ndo hivyo. Kusimamia kucha hawawezi kifuatacho ni strokee all the time. Tuwaombee wanaume wetu maana naona miaka hii ndo mitindo yao. Kuna profesa naye kaoa kabinti kadogoo
 
Back
Top Bottom