Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Na stress hizo huwa mnajitafutia wenyewe kwa uoumbavu wenu. Hamuombei ndoa zenu, matatizo yenu mnaona michepuko ndio suluhisho. Mkishakoroga huko mnajifanya mna stress mnakufa. Mkufe tu maana msiba wa kujitakia hauna kilio.

Hivi mnafikiri wanawake wana raha sana kwenye ndoa zao? Hebu pita makanisani kaangalie %kubwa ya wanaohangaika kuzililia na kuziombea ndoa zao ni kina nani?
Hao wanaoishia kanisani wanaenda kutubu zambi za kuwaua waume zao either kwa kuwawekea sumu wafe taratibu au kuwaua waume zao kwa kuwa fustrate manake mwanamke akiamua kukukalia kooni aisee nyumba inakua chungu huko saloon mnadanganyana sana
 
We nawe ni utoto unakusumbua. Kua kwanza.
 
Kaka zako ni wacha Mungu?
Wewe au wasiwe ....japo wangu mie wana mcha Mungu!
Nyumba ni mwanamke,akisimama kwny nafasi yake vzr huku Mungu akiwa ni kipaumbele ni bora Mara 100!

Kumbuka" ni hatari kuwa na mwanaume ambae sio mcha Mungu,lkn ni HATARI ZAIDI kuwa na mwanamke amabae sio mcha Mungu"! SBB nyumba ni Mwanamke!
Yaani uwezo wa kujenga na kubomoa nyumba amepewa mwanamke sio mwanaume !
...Biblia ipo wazi...mwanamke mpumbavu atabomoa nyumba kwa mikono yake mwenyewe.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo ukawatwishe wadada wa watu mizigo ya kuwaombea kaka zako ambao sio wacha Mungu
 
Kwahiyo ukawatwishe wadada wa watu mizigo ya kuwaombea kaka zako ambao sio wacha Mungu
Eeh lzm wawaombee si watakua waume zao! Ss usipomuombea mume wako nani amuombee?
Mi nawaombea sshv SBB hawajaingia huko,ila wakishaingia huko kazi ya wake zao hiyo sio mi.

Ndo maana wanaandaliwa kuanzia sshv wajue pia waa wajibu wa kuombea wake zao(ndoa zao)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasumbuliwa na pepo asali sana atapona.
Pole sana, nikwambie kitu jifundishe kumpenda ninaamini utaweza, kikubwa usiangalie mabaya yake alokufanyika kama yamewahi kutokea angalia mazuri yake, ni ngumu sana lkn naamini hadi ukafunga nae ndoa yule unampenda, mwanamme nliye nae mimi mwanzoni sikuwahi mpenda aisee nisiwe muongo, lkn nmekaa nae nikajikuta nampenda mnoo uwiiiii huwa nikikaa nkikumbuka tulivyoanza nacheka, siku ya kwanza ya mgegedo hahahah nilifumba macho natamani amalize haraka,ila sasa hahahah uwiiiii, mshikaji mpende mkeo bwana no matter what siku ukimpata ambae hakupendi walahi utalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho kitabu Soma ww unaejustify Uzinzi na Kusaliti mwenza wako! Binti yako, Dadazako na Mama yako wakisalitiwa na waume zao wape hiko kitabu wasome kwamba wamesalitiwa kwajili hawatoi Great Sex. Sasa kama nimetendwa cha ajabu nini? Ww hujawahi kutendwa? Mamaako katendwa mara ngapi? Dada zako je? hakuna Mwanamke anaejielewa atakutaka mtu km ww. Eti mapenzi ni game. Siwez kutoa namba yangu ya simu kwa Kinuka mkojo km ww! Sikujui hunijui na kamwe huwezi kunijua!
Tupimane akili tu sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?

Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu

Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
Mapenzi ya ujanani na/au uchumbani si sawa na kwenye ndoa mke na mume. Mke na mume huwa hawana papara za kusimamia shoo nyavu sita karibu daily! As ni mali yako, kunakuwa hakuna papara hizo. Tofautisha kulala na mumeo/mkeo, na kulala na mtu mwingine. Lakini pia mnaweza kuwa na vitanda viwili ambapo wakati mwingine kila mtu atalalia kitanda chake.
 
You loved her for what she has and not for who she is...
 
Mimi Elimu yangu darasa la saba Ila bro Wa degree 2 kuna kitu haujakijua bado mkeo unampenda na ukitaka kujua unampenda au humpendi ngoja siku ugundue kuna MTU anasex naye au akuambie tuachane na wewe ukafurahia kwa kupata fursa ya kuachana naye
Baada ya miezi isiyozidi sita utakuwa na mwanamke ambaye unampenda utagundua kitu .

Labda utuambie umegundua no mchawi,mshirikina ,Malaya ,hana msimamo yaani ni kigeugeu hapo utaweza niambia umemchoka tofauti na hapo unatafuta laana iliyojificha .
uko serious au unazingua tujadiliane tuu
 
Wanaona Mwanamke ndo wakutupiwa lawama na kubebeshwa kila aina ya Mzigo km hao Wanaume huko kwao walishindwa kufunzwa Ucha Mungu na mama zao ataweza mwanamke walokutana ukubwani?
Kazi ipo.
 
Mkuu unafeli sana, ila muda ni mchache sana hapa duniani sikiliza moyo wako unataka nini ha usisahau akili yako pia.

Binti wa watu angejua
 
Back
Top Bottom