Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?

Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?

thanks bro for a wonderful comment...
Much respect kwa pascal ni mmojawapo aliye ni inspire kujiunga JF.. Bila kumsahau Elli Mshana
paskal popote ulipo you have my big respect hasa kwenye ule uzi wako wa meditation..
Elitwege my longtime hater umenifanya kuwa bora zaidi na zaidi kwakuwa so negative kwenye post zangu... So I adore your guts of hatred... You made me practice my wisdom of torelance and be extra careful...
Kwa wengine wote asanteni sana.. Bila nyie nisingekuwa mimi.. Hasa wale haters..
Let love lead... Am humbled... You have my much much respect!
Mchawi na tapeli (mshana )vs Mayalla( mwandishi nguli)

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Wakuu poleni na janga la Covid-19. Naamni mnaenda kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na wataalamu wetu wa afya,bila kusahau kuendelea kufanya yale maombi ya siku 3.

Leo wakati naperuzi zangu jamiiforum nikawa nasoma post mbalimbali za watu lakini nikavutiwa na maandiko ya hawa jamaa wawili Mayalla na Mshana Jr. Ni dhahiri nyuzi zao ndo zinaongozwa kwa kusomwa na watu. Nikaona si vibaya km tumkitafta Tanzania one (T.O) wa Jamii Forum kwa kuwapambanisha hawa malegendari. Je nani zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wote ni zaidi
Kila mmoja ana mchango wake kwa JF
Inaweza kuwa mada tofauti maono tofauti lakini wote ni sawa tu
Mada zao zinaelimisha zinachangamsha zinafikirisha zinatuchanganya ZAIDI Zinatufanya tusiache kupitia JF kila siku

Cc: Mshana Jr Pascal Mayalla
 
thanks bro for a wonderful comment...
Much respect kwa pascal ni mmojawapo aliye ni inspire kujiunga JF.. Bila kumsahau Elli Mshana
paskal popote ulipo you have my big respect hasa kwenye ule uzi wako wa meditation..
Elitwege my longtime hater umenifanya kuwa bora zaidi na zaidi kwakuwa so negative kwenye post zangu... So I adore your guts of hatred... You made me practice my wisdom of torelance and be extra careful...
Kwa wengine wote asanteni sana.. Bila nyie nisingekuwa mimi.. Hasa wale haters..
Let love lead... Am humbled... You have my much much respect!

Jr
Hahahaha Amen Bro! Thanks. Huyu Elitwege ni dekio la kijani! She knows me well, huwa simkopeshi
 
Huwa sipendagi sana kusoma nyuzi za hao jamaa uliowaweka, ungenambia Habibu Anga ningekuunga mkono.
 
Back
Top Bottom