Kumbe bado kuna Open Bar zinakesha mpaka Asubuhi

Nicho North11

Member
Mar 28, 2019
29
45
Habari za jioni wadau!

Mimi ni mkazi wa Sinza jana nikaenda kumtembelea Rafiki Yangu Maeneo ya Tegeta.

Mida fulani hivi kama kawaida yetu Friday kwenda kusafisha Koo na Gold water akanipeleka KIBO pale Tegeta Kibaoni tumekaa mpaka mishale ya Saa 9 tukasema tuondoke ile kutoka Nje opposite nikaona Bar fulani inaitwa KB Mziki kama wote na Cha Kushangaza na Polisi wapo ikabidi tuendeleze ligi mpaka asubuhi Saa 11 na watu ni Shazi muda wote.

Mbona Sinza hizo habari za kukesha hamnaga ila nje ya mji bado zipo
 
Hiyo KB wateja wake wengi ni wanajeshi huwa napakubali sana hapo

ila hata Sinza kuna bar wanakesha Mzee utakuwa ww unawahi kulala tu
 
Habari za jioni wadau!

Mimi ni mkazi wa Sinza jana nikaenda kumtembelea Rafiki Yangu Maeneo ya Tegeta.

Mida fulani hivi kama kawaida yetu Friday kwenda kusafisha Koo na Gold water akanipeleka KIBO pale Tegeta Kibaoni tumekaa mpaka mishale ya Saa 9 tukasema tuondoke ile kutoka Nje opposite nikaona Bar fulani inaitwa KB Mziki kama wote na Cha Kushangaza na Polisi wapo ikabidi tuendeleze ligi mpaka asubuhi Saa 11 na watu ni Shazi muda wote.

Mbona Sinza hizo habari za kukesha hamnaga ila nje ya mji bado zipo
Tegeta ni nje ya mji! !!!!
 
Ukicheki vizuri KB bar haijazungukwa na makazi ya watu, ni maduka tu...hata hivyo bar kukesha si ni leseni tu...
Habari za jioni wadau!

Mimi ni mkazi wa Sinza jana nikaenda kumtembelea Rafiki Yangu Maeneo ya Tegeta.

Mida fulani hivi kama kawaida yetu Friday kwenda kusafisha Koo na Gold water akanipeleka KIBO pale Tegeta Kibaoni tumekaa mpaka mishale ya Saa 9 tukasema tuondoke ile kutoka Nje opposite nikaona Bar fulani inaitwa KB Mziki kama wote na Cha Kushangaza na Polisi wapo ikabidi tuendeleze ligi mpaka asubuhi Saa 11 na watu ni Shazi muda wote.

Mbona Sinza hizo habari za kukesha hamnaga ila nje ya mji bado zipo
 
Habari za jioni wadau!

Mimi ni mkazi wa Sinza jana nikaenda kumtembelea Rafiki Yangu Maeneo ya Tegeta.

Mida fulani hivi kama kawaida yetu Friday kwenda kusafisha Koo na Gold water akanipeleka KIBO pale Tegeta Kibaoni tumekaa mpaka mishale ya Saa 9 tukasema tuondoke ile kutoka Nje opposite nikaona Bar fulani inaitwa KB Mziki kama wote na Cha Kushangaza na Polisi wapo ikabidi tuendeleze ligi mpaka asubuhi Saa 11 na watu ni Shazi muda wote.

Mbona Sinza hizo habari za kukesha hamnaga ila nje ya mji bado zipo
biashara kubwa anayofanya bwana SAMSONI SIRRO NI kuuza ulevi /bar
 
mtamuuua masawe kwa mawazo jamani ni juzi tu kamaliza kukarabati ile bar,pembeni yake brazil pub vipi bado pamelala pale pamekaa poa anaweza piga hata sound proof akitaka
 
Back
Top Bottom