Nimechaguliwa kujiunga chuo kikuu Huria kozi ya Sheria akupuo ya Julai 2019

K

Kamera

Senior Member
Joined
Sep 27, 2018
Messages
145
Points
225
K

Kamera

Senior Member
Joined Sep 27, 2018
145 225
Mimi ni mtumishi wa Umma mwenye shahada yangu, nimeamua kujiunga na chuo kikuu huria kusomea shahada nyingine ya sheria. Nimechaguliwa kwenye mkupuo huu wa Julai.

Naomba kama kuna mtu mwenye kujua lolote kuhusu Msimbo wa Sheria haswa hapo chuo kikuu huria anisaidie chochote kimawazo.

Je ni vyema kujiunga Kinondoni campus au makao makuu campus kwa mimi mkazi wa jirani na hizo campus mbili.

Kama kuna group la 2018/2019 naomba nijuzwe ili nijiunge nikutane na wenzangu.

Nashukuru kwa mawazo na ushauri wenu.
 
SpiderThy

SpiderThy

Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
88
Points
125
SpiderThy

SpiderThy

Member
Joined Dec 12, 2016
88 125
Kwa sasa hakun campus ya makao makuu, rather pale pembeni ya OUT Makao makuu ilipokuwa Biafra sec, ndio ilipo Kinondoni Regional Centre. So, kama uko Kinondoni au wilaya ya Ubungo, utashauriwa ukajisajili hapo.
 

Forum statistics

Threads 1,313,879
Members 504,678
Posts 31,807,107
Top