Recent content by spiason1

  1. spiason1

    Nampenda sana Mama yangu mpaka Baba anapata wivu hatari. Vipi hii tena?

    Kumpenda mama siyo dhambi, hata ukimpenda kiasi gani lakini uwe na kikomo, haswa unapokuwa mbele ya mzazi. Wakati nasoma post yako Kuna vitu vingi umeficha, mzee siyo mjinga awe na wivu kwa mambo ya kijinga namna hiyo, inawezekana jinsi mnavyokaa, mnavyoishi na kuongea siyo inavyopaswa kuongea...
  2. spiason1

    Marufuku ya biashara ya nguo za mitumba, wafanyabiashara tukimbilie wapi?

    Hukumbuki sukari ilikuaje? Walioficha sukari walifanyiwa nn?
  3. spiason1

    Serikali na jeshi la polisi Tanzania ni Malaika.

    Hivi ni serikali ipi ambayo haitaki kukosolewa? Hili jeshi la police kuzuia mikutano ya vyama pinzani ambayo itakosoa serikali likapimwe akili
  4. spiason1

    Serikali isiyokosea... Serikali ambayo imetoka mbinguni

    Hii serikali inachekesha sana pamoja na jeshi la polisi.
  5. spiason1

    Polisi yatoa sababu "nzito" kuzuia Mahafali ya CHASO Dodoma

    Sababu za kuzuia mahafari ya moshi ni nini? Au ni ugali wenye sumu pia? Waache kutudanganya
  6. spiason1

    Natafuta sehemu ya kufanya kazi ya kujitolea,(volunteer)

    Samahani na poleni na majukumu ya hapa na pale, Mwenzenu hapa ni mwanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha,mwaka wa mwisho... Ombi langu kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia naomba anisaidie. Natafuta sehemu ya kufanya kazi ya kujitolea,(volunteer) lengo na dhumuni la kuomba ni kutaka...
  7. spiason1

    Msaada, nahitaji mifuko na niweke jina la kampuni yangu

    Naomba mtu anayejua utaratibu wa kupata mifuko ya kupaki bidhaa, mfano mifuko hii ya Chama, anaeleweshe. Nimefungua company, sasa nataka mifuko special ambayo itakuwa inapaki bidhaa zangu na mfuko huo uwe na nembo yangu na jina la company pamoja na shirika la viwango. Anayejua please...
  8. spiason1

    TRA yavuka lengo la makusanyo wa Mapato mwezi Mei 2016

    Source ya Habari please
  9. spiason1

    Ni nini madhara yake?

    Rais kutumia pesa za serikali nje ya bajeti?
  10. spiason1

    Kwanini hatusikii kelele tena za makontena?

    Kwanini hatusikii kelele tena za makontena? Kwanini hatusikii tena kwa mwezi mapato yaliyopatikana yanazidi kuongezeka? Au watu hawalipi tena kodi? Jibu ni rahisi tu. Kwa wale waliosoma account watakuwa wanajua kitu kinaitwa outstanding/arrears na pre paid. Kilichokuwa kikifanyika mwanzoni...
  11. spiason1

    Headache for Angela Merkel as German president Joachim Gauck steps down

    Rais wa ujeruman amesema hatoendelea kugombea nafasi ya urais. Bw Joachim amesema umri na Hali ya afya ndo sababu kubwa. African leaders... Ntafia ikulu, Viva Robert mugabe na m7. [emoji23][emoji23]
  12. spiason1

    Headache for Angela Merkel as German president Joachim Gauck steps down

    Former East German civil rights activist will not stand for second term, despite appeals across political spectrum for him to stay Germany’s president, Joachim Gauck, has announced he will not stand for a second term in office, prompting an instant race to find his successor and effectively...
  13. spiason1

    Naibu spika ashangazwa na wabunge wa upinzani kutoka nje

    Naibu spika Dr Tulia Acksoni amesema anashangazwa na hatua ya wabunge wa upinzani kutoka kila anapoingia bungeni, pia amekaririwa akisema kuwa siyo vizuri kwan hawawafanyii vema wananchi kwan wamekuja kuwasilisha wananchi na siyo kutoka bungeni. Una lipi la kumwambia?
  14. spiason1

    Kinachofuata awamu hii ni maisha magumu kuliko awamu zote

    Inatoka wapi hiyo nchi ya viwanda mkuu
Back
Top Bottom