spiason1 Member May 31, 2016 26 18 Jun 23, 2016 #1 Hii serikali inachekesha sana pamoja na jeshi la polisi.
Ulukolokwitanga JF-Expert Member Sep 18, 2010 8,397 7,972 Jun 23, 2016 #2 Subiri pendekezo la kuondoa ukomo wa madaraka liko njiani linakuja. One Man Show
Steven Robert Masatu JF-Expert Member Aug 7, 2009 2,458 1,822 Jun 23, 2016 #3 Aiseee hii sasa kali. Hii kweli ni sirikali tukufu.
D Descartes JF-Expert Member Jul 24, 2013 2,765 1,663 Jun 23, 2016 #4 Ulukolokwitanga said: Subiri pendekezo la kuondoa ukomo wa madaraka liko njiani linakuja. One Man Show Click to expand... Huwa yanaanza kidogo kidogo...
Ulukolokwitanga said: Subiri pendekezo la kuondoa ukomo wa madaraka liko njiani linakuja. One Man Show Click to expand... Huwa yanaanza kidogo kidogo...
kalou JF-Expert Member Aug 22, 2009 4,975 3,828 Jun 23, 2016 #5 Mm nilishakataga tamaa na awamu hii,labda ijayo