Natafuta sehemu ya kufanya kazi ya kujitolea,(volunteer)

spiason1

Member
May 31, 2016
26
18
Samahani na poleni na majukumu ya hapa na pale,
Mwenzenu hapa ni mwanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha,mwaka wa mwisho...
Ombi langu kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia naomba anisaidie.

Natafuta sehemu ya kufanya kazi ya kujitolea,(volunteer) lengo na dhumuni la kuomba ni kutaka kuongeza ujuzi na maarifa juu ya Yale niliyoyasoma darasan.
My career ni banking and finance.
Ahsanteni

Santos piason
Cont 0712270740 /0754553268
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom