Habari naomba ujumbe umfikie mheshimiwa... Mimi ni binti yatima sina baba kakangu ndo kanisomesha tangu form one mpaka chuo kikuu kwa hii biashara ya mtumba nmemaliza chuo nmekosa ajira nmeamua kujiingiza kwenye hii biashara ya mtumba..alafu Leo hii nasikia unaifungia.. MUNGU WANGU TUEPUSHE SISI WAJA WAKO AMINA