Kwanini hatusikii kelele tena za makontena?

spiason1

Member
May 31, 2016
26
18
Kwanini hatusikii kelele tena za makontena? Kwanini hatusikii tena kwa mwezi mapato yaliyopatikana yanazidi kuongezeka? Au watu hawalipi tena kodi?

Jibu ni rahisi tu.
Kwa wale waliosoma account watakuwa wanajua kitu kinaitwa outstanding/arrears na pre paid.

Kilichokuwa kikifanyika mwanzoni serikali ya Magufuli ni kukusanya hela kwa watu waliokuwa wakidai na serikali, means arrears na baada ya hapo wote wamelipa, ndio maana sasa hivi hakuna tena Habari ya mapato kuongezeka.

Acha tusubiri tuone.
 
Makontena yameenda kubeba sukari ngoja yarudi utayasikia tu chezea businessman wewe
 
Wimbo huo umepita, sukari imepita, watumishi hewa inapita, sasa ni habari ya kuutafuta upako tu.
 
Kwanini hatusikii kelele tena za makontena? Kwanini hatusikii tena kwa mwezi mapato yaliyopatikana yanazidi kuongezeka? Au watu hawalipi tena kodi?

Jibu ni rahisi tu.
Kwa wale waliosoma account watakuwa wanajua kitu kinaitwa outstanding/arrears na pre paid.

Kilichokuwa kikifanyika mwanzoni serikali ya Magufuli ni kukusanya hela kwa watu waliokuwa wakidai na serikali, means arrears na baada ya hapo wote wamelipa, ndio maana sasa hivi hakuna tena Habari ya mapato kuongezeka.

Acha tusubiri tuone.
mapato ya mwezi wa tano yameshatolewa tafuta kingine
 
Ulikuwa ugeni wa ofisi, hivi tungejuaje kama sura zimebadilika lakini ni kijani kile kile?
 
Lakini habari zake zilikuwa tamu "makontena 2639 yamepotea" kwa akili ya haraka kama hujawai kuliona hilo kontena waweza dhania ukubwa wake ni kama piritoni kumbe ........!!!!!!
 
Utawala wa mwendokasi ndo mana huyasikii watu haooo tunaelekea to the next news
 
Anaewalipa anatoa hela nyingi sana,lazima anawazidi wale wa buku 7!
 
Mkuu kuna chembechembe za ukweli hapo na licha makontena kuwa kwenye mwendokasi hata baba jesca naye yuko kwenye mwendokasi ndo maana amekanyaga wese hadi kwa mzee wa upako
 
Back
Top Bottom