Kweli kabisa ndio tatizo la watanzania kupenda vya Ubwete! Tafuta historia ya nchi 5 za Asia, Thailand ikiwa moja wapo zilivyoeldelea VS tabu walizopata mwanzoni. Actually walioikomboa nchi walisema wanafanya kwa ajili ya generation ya watoto wao ( unaweza kadiria ni miaka mingapi walitegemea hali nzuri?!?!?) kwa waTanzania hata mwaka haujafika malalamiko yameanza. Wacha Mh. Magufuli ajenge msingi ili nyumba iwe imara!Ni mhimu kupitia hatua ngumu zaidi ambayo bado hatujaifikia ili kuweza kuona thamani ya kile tulichonacho. Lazima misingi ya uchumi ijengwe kwa jasho siyo kwa kukwepa kwepa wajibu na kumtegemeaa mzungu kwa kila jambo. Pamoja na kwamba serikali inakopa, lakini mwisho wa siku pesa ile inabidi itumike kupatikana kwa huduma mhimu za jamii. Hatukuzoea haya mabadiliko, na ukweli siku zote mchungu ngoja tupitie hii hali ili tujue namna ya kuulinda uchumi wetu na nchi yetu kwa njia yeyote ile.
Kweli kabisa ndio tatizo la watanzania kupenda vya Ubwete! Tafuta historia ya nchi 5 za Asia, Thailand ikiwa moja wapo zilivyoeldelea VS tabu walizopata mwanzoni. Actually walioikomboa nchi walisema wanafanya kwa ajili ya generation ya watoto wao ( unaweza kadiria ni miaka mingapi walitegemea hali nzuri?!?!?) kwa waTanzania hata mwaka haujafika malalamiko yameanza. Wacha Mh. Magufuli ajenge msingi ili nyumba iwe imara!
Mkuu mbona sio mvumilivu twende na kas mh tz ya viwanda inakujaAwamu hii inaweza kuwa ni kipindi ambacho wananchi wa Tanzania tunaenda kuishi maisha magumu kuliko kipindi chochote.
Serikali kukopa zaidi ya Trion 7.
Kodi kuongezeka mpaka sector zisizo rasmi....
Acha tusubiri.
Hayo yooote yanahitaji mikakati. Kama tunabanana kiuchumi tukumbuke pia baadaye hiyo kodi itakuwa haipatikani. Maendeleo hayaletwi na kutumbua majipu na kuumbuana, yanaletwa na mikakati ya uzalishaji. Kama kuna fedha nje ya manispaa zisitumike kujenga Barabara ya Kibangu, badala yake ziwaangalie vijana wa Kibangu.
Huwa mnatolea mfano China ukikutwa na ubadhirifu wa pesa unapigwa risasi, sasa nyinyi watu wanatumbuliwa tu mshaanza kulalama je ikifanyika kama hao munaowatolea mfano itakuwaje ........... au mnadhani kulete mabadiliko ni sawa na "kuigiza bongo movie" .................. au mlidhani mtapata mabadiliko bila kuumia au kuathirika kwa namna yoyote ............. watz wenzangu vipi,kila siku mnaifia ulaya mara US,mnadhani mababu zao si waliteseka sana na leo hii wajukuu wanaishi vizuri???
Wapuuzi sana hawa,wanataka mabadiliko huku wanakunywa kahawa.Waeleze waelewe hawa watu. Kila siku wanalilia mabadiliko sasa yakianza kuja wanaanza lalama tena??
Hakuna mabadiliko yatakayotokea kwa watu kuendelea kuwa wavivu, wapuuziaji mambo, wasiofata sheria, n.k.. Hakuna maendeleo yatakayoletwa na tabia hizo ndugu zangu.
Marekani ya leo ilijengwa na watu waliojitoa kuanzia fikra hadi nguvu zao.
Kama kwa hakika tunataka mabadiliko ni lazima tukubali na kubadilika sisi kwanza ili hatimaye nchi na mifumo yote ibadilike pia
Acha mawazo ya kijinga,awamu hii itakuwa ngumu kwa wale wote walio zoea maisha ya shortcut.Awamu hii inaweza kuwa ni kipindi ambacho wananchi wa Tanzania tunaenda kuishi maisha magumu kuliko kipindi chochote.
Serikali kukopa zaidi ya Trion 7.
Kodi kuongezeka mpaka sector zisizo rasmi....
Acha tusubiri.