spiason1
Member
- May 31, 2016
- 26
- 18
Naomba mtu anayejua utaratibu wa kupata mifuko ya kupaki bidhaa, mfano mifuko hii ya Chama, anaeleweshe. Nimefungua company, sasa nataka mifuko special ambayo itakuwa inapaki bidhaa zangu na mfuko huo uwe na nembo yangu na jina la company pamoja na shirika la viwango.
Anayejua please anielekeze kiwanda kinachozalisha mifuko special hiyo.
Anayejua please anielekeze kiwanda kinachozalisha mifuko special hiyo.