Recent content by souljah meditater

  1. souljah meditater

    JamiiForums Tanzania Malaika alipodondoka,pengine alichoka kupaa

    Hahahaaaa hii chai nzito mi naomba kipooro nishushie vizuri
  2. souljah meditater

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wengi wamekamatwa Qnet?

    Mkuu una uhakika hao uliowataja wanafanya biashara zao kama kina Qnet, GNLD, Forever Living n.k? Labda utakuwa umechanganya online marketing na network marketing, soma vizuri hivyo vitabu vyako
  3. souljah meditater

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Matajiri wa Mikoa ya Kaskazini na Kusini mwa Tanzania

    Hapo ndo umeuwa kabisa arifuu
  4. souljah meditater

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Pierre 'Likwidi'

    Jamaa nilimuotea akihojiwa BBC ikibidi nisikilize anasema nini pale mtangazaji aliposema emu jitambulisha kwa vionjo vyako nikasikia ' sei yeeeeeeeeeeh... mamaa nakufa... liquid hatari.. firee.... ndipo nikagundua umaarufu hauna formular
  5. souljah meditater

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

    kwa hiyo mpaka leo bado haujaligegeda tu? unatuangusha mzee baba uogauoga na kulialia ni miyayusho piga pumb* jini hilo
  6. souljah meditater

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

    endeleza maelimu mkuu
  7. souljah meditater

    JamiiForums Tanzania Lunch ya kuitiwa na mwanamke imesababisha nitoe pesa ya salooni siamini

    kama katikati ya kula pilau kuku akakupiga mzinga wa saloon basi tegemea katikati ya mgegedo kusikia nataka kulipia kodi ya nyumba ila nimepungukiwa
  8. souljah meditater

    JamiiForums Tanzania Nimfanyaje mke wangu! Kwa tabia hii?

    Usimkataze mkeo kuwapelekea msosi rafiki zake ndo upendo wenyewe huo na ili kushow love zaidi wagegede wote
  9. souljah meditater

    JamiiForums Tanzania Hivi RC Agrey Mwanri ni mchekeshaji?

    Katika wakuu wa mkoa wanaopiga kazi ni pamoja na huyo mshua, sema tu anamaneno fulani na namna anavyoongea watu wanaona comedy au anatafuta media attention ila kiukweli ndivyo alivyo hivyo sisi watu wa mboka tunamjua kitambo
  10. souljah meditater

    JamiiForums Tanzania Natangaza hali ya hatari kwa Konki×3 Master

    mkuu acha ajitetee mwenyewe mambo mengine huwezi jua inawezekana ni kweli watu wanamfukunyua na huenda KONKI Master kashampitia
  11. souljah meditater

    JamiiForums Tanzania Sitasaau safali ya Serengeti kuwona wanyama.

    kani uriwawona wanyama gani?
  12. souljah meditater

    JamiiForums Tanzania Aina Mpya ya Sinema; Mtuhumiwa Anahojiwa na Vyombo vya Habari

    Siku zote njia za muongo huwa ni fupi
  13. souljah meditater

    JamiiForums Tanzania Haikua lazima unipende Caren

    Sasa mkuu ushafumania msg ya michepuko 3 alafu unakuja kuumia baada ya kukutwa kapakatwa na mchepuko mmojawapo? Huna haja ya kuwachukia wanawake wote utajipa tabu tu, kumbuka maisha yanaendelea soon utatokea kupenda tena
Back
Top Bottom