Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,508
- 55,521
Ni mambo ya siri sana. Kuna jamaa kitaa ana mke wake na watoto.. familia safi kabisa lakin siku tumekuja ambiwa vitendo vyake nilikataa kata kata maana ni mtu anaheshimika ila kwa siri sana ni michezo yake.
Waliambiwa wakapime kama siyo kweli akafungwe, VP mmejaribu kwenda hospital labda ili tupate pa kuanzia?? Haya mambo ni siri sana hats kama ni ndugu yako, mfano eneo ninaloishi kuna watu wenye hadhi zako ukiambiwa hauwezi kuamini kabisa maana wanafanya mambo haya kwa kificho sana sanaa.!