Nimfanyaje mke wangu! Kwa tabia hii?

Nimfanyaje mke wangu! Kwa tabia hii?

Piga stop,wanawake ni watu wanaohitaji msaada wa mawazo ya wanaume sana hasa inapokuwa kwenye mahusiano,wewe ni mtawala chukua nafasi yako na usipokuwa makini kuna kitu kibaya kinakuja mbele yako,ikiwa ni pamoja na nyumba kutokutawalika kwani ni wepesi sana kubeba ushauri wa jinsi ya kuishi kwenye nyumba kutoka kwa marafiki,trust me...
 
Ukiwatafuna utapata faida mbili,
1. Watakupa uroda nawe roho yako itasuuzika.
2. Mkeo akijua hatowapikia tena na urafiki utakufa ha ha ha ha.


Watafune mkuu halafu utuletee mrejesho washauri wako.
Ni kweli mkuu! Na ana wivu mkali kuliko maelezo.
Hao wadada ni marafiki zake wazuri lakini huwa harusu hata mmoja apande gari yangu, asipokuwepo!!
 
Kunywa balimi 7 anza then mendea kawapelekea huo msosi ingia ghafla pika mateke mahot pot kumamae tukana kisenge mpaka wajute kumfahamu mkeo.Kama hujabarikiwa mitusi nione inbox nina stock ya kutosha.
 
hili swala linaside effects kama utampiga mkeo stop, kwanza utaonekana una roho mbaya kwa hao mashoga wa mkeo, pili, urafiki utakufa kati yao

kosa ni kuliacha swala hili mpaka limekomaa na kuota mizizi, mpaka unaleta huku by any means tayari limekushinda

adios
 
Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!
Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea!

Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya zamani, hii sehemu aliunganishiwa na marafiki zake wa karibu kwa sababu na wao wanaishi hapo, ni nyumba nzuri.
Tulivyoamia mambo yalikuwa poa sana, bahati nzuri wote ni watumishi na tunakisehemu cha kufanya ujasiriamali.

Hao marafiki zake wawili ni watumishi pia, na mara nyingi mke wangu ndio huwa wakwanza kuwahi kurudi nyumbani kabla yao!
Ishu inakuja hapa, kwa takribani kama miezi 3 hivi naona wife ndio amegeuka kama mpishi wao! Kila akipika ni lazima wawe na share kwenye msosi wake, kwa wanawake wanaojitegemea kabisa! Na kila mtu ana nyumbani kwake.

Nilijiuliza wife huwa anapata msaada gani kwa hao wadada hadi awapikie kila siku nikakosa jibu.

Wao kupika ni week end tu! Na hawawezi kuleta msosi kwetu kama wife anavyowapelekea, she use her own money to buy all staffs. Bahati nzuri she never ask any money for food, due to some agreement, pesa yangu ikuze mtaji na kuendeleza ujenzi na yake ishughulike na mambo ya ndani yote ikiwemo mavazi na chakula.
Ishu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop!
Binafsi naona kama hili swala halijakaa vyema wakuu, Tushauriane!!
Uchoyo Huo,hata chakula.We mtu wa wapi?
 
Hiyo sio suruhu hata huko watakakohamia mkewe ataenda kufanya hivyo sababu mkewe ni Mama huruma........hapo tiba anayo mumewe tena wakiwa hapo hapo
Akiendelee kufanya hivyo ukawashaa Tu ,Unamwambia Ache Mara moja
 
Kunywa balimi 7 anza then mendea kawapelekea huo msosi ingia ghafla pika mateke mahot pot kumamae tukana kisenge mpaka wajute kumfahamu mkeo.Kama hujabarikiwa mitusi nione inbox nina stock ya kutosha.
Wanakaa nyumba tofauti mkuu.
 
Duh! amle kichuri!
Hivi kichuri si ndio ma.vi au mimi ndio sielewi?
Hahaha kichuri ni damu ilopikwa ya mnyama inachanganywa na nyongo nak hutumiwa na wakurya sana .. hii humpa mkurya ujasiri unaosikia ule wa musoma hhahaa..
Sasa yeye huyu sijamuelewa anamaanisha nini kwa kweli!!!
 
Usimkataze mkeo kuwapelekea msosi rafiki zake ndo upendo wenyewe huo na ili kushow love zaidi wagegede wote
 
Back
Top Bottom