Kwanini walimu wengi wamekamatwa Qnet?

Vitalis Konga

Senior Member
Sep 22, 2018
110
250
Habarini,bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada,kwa nini walimu wengi wamekamatwa na Qnet wakati halide zao za maisha zikiongezeka kwa tight

Majibu yenu yatasaidia kuwakomboa au kuwaumiza walimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

makinika18

Member
Nov 16, 2018
40
125
Good, mweleweshe huyo anaweka Maelezo mengi halaf hajui anachokiongelea
Unajua kuna tofauti kati ya network marketing na network businesses? Network marketing ni pyramid yaani network ya kuunganishana kwenye upatu kama deci, AIM Global n.k. na network businesses ni biashara kwa njia ya mtandao wa internet means online yaani unauza na kununua bidhaa through online.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
8,640
2,000
Mkuu usipende kumushangaa kila mtu kwa Kazi anyoifanya. Hujui network marketing ndo biashara iliyopamba karne hii ya 21 na hujui kuwa baada ya miaka kumi ijayo network marketing ndo itakuwa the leading market in the world tatizo la wabongo wengi tunapenda Sana kuangalia movie &TV kuliko kusoma vitabu vingi vinavyoonyesha uhalisia wa Dunia ilipo na inakoelekea. Kwa wenzetu ulaya naweza SEMA huwa wapo mbele yetu kwa karne Kama moja Hivi coz kwa upande wao network marketing ilishaanza kitambo Sana na ndo biashara iliyo dominate huko kuliko local marketing ila kwa Tanzania na Africa kwa ujumla ndo bado tunaona Kama network marketing hailipi kwasababu wengi wetu bado tunaishi ktk maisha ya kijimaa . Ukitaka kuhakikisha ukweli wangu fuatillia matajri wengi duniani kama hawapo kwenye Mlm Mfano Angalia utajiri wa waanzailishi wa Network marketing Kama
Facebook
Alibaba
Amazon
Ebbay
Western Union
Harfu ndo utajua maana na Siri iliyojificha kwenye network marketing

Note: Siyo kila network marketing Ni nzuri kujihusisha nop zingine zimejaa utapeli TU na usiingie kwenye mfumo wa Network marketing pasipo kuwa na Elimu ya kutosha au akri iliyofunguka Zaidi juu ya utandawaziiii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu with all due respect unapotosha watu kwakuwa unachanganya e-commerce, social online networking service companies na NETWORKING MARKETING.

Kuanzia leo utambue NETWORKING haimaanishi kufanya biashara mitandaoni pekee. Networking by definition does not mean 'online' or 'internet'. NETWORK ni mtandao na mtandao si lazima uwe wa internet.

NETWORKING marketing ni MULTI-LEVEL MARKETING au kifupi MLM.
Hii inaitwa MLM ni sababu wa juu anategemea kupata faida kwa kumuunga wa chini na wa chini ndio humtengenezea pesa wa level ya juu.

Hii networking marketing wanamaanisha kufanya sales kwa muundo wa kutengeneza mtandao(network) wa watu wanaotumika kuuza bidhaa au huduma za watu fulani wachache walio juu yao bila mshahara kwa kutegemea watalipwa 'incentive' au motisha kwa tafsiri isiyo rasmi.

Hili ni somo refu sana. Kifupi inaweza kuwa pyramid scheme.

Baadhi ya nchi hii NETWORKING MARKETING imewekewa sheria ngumu sana au kukatazwa kabisa sababu za kupenda kutumiwa na matapeli wengi kama pyramid schemes.

Hii model ya biashara wanachama wake wengi wa chini hutumiwa kama wafanyakazi wa mauzo bila malipo(mshahara) wakipewa matumaini lazima watafanikiwa tu kupitia hizo motisha huku kiuhalisia takwimu zinaonesha zaidi ya 90% wanafeli au kupata hasara.

Mwisho nimalizie kwa kukujulisha Facebook, Amazon, ebay na Alibaba sio biashara zinzo endeshwa ktk mfumo wa Network Marketing au MLM model.

Ukiondoa Facebook hizo zilizobaki ni e-commerce yaani zinazofanya online marketing au sales.

Hapo umepotosha kabisa.

Amazon ni pure
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom