Malaika alipodondoka,pengine alichoka kupaa

Malaika alipodondoka,pengine alichoka kupaa

kendy

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
428
Reaction score
894
picha ya malaika aliyedondoka kutoka juu,huko London ,miaka ya nyuma kidogo

1151844

1151845


Binadamu wakimshangaa Malaika aliyedondoka toka juu.
 
Hivi kabla hujaleta mada kama hii hamna hata research kidogo unaweza fanya ?

Au hii habari ipo jukwaa la jokes ?
Mkuu Yamakagashi hili ni jukwaa la picha,hivyo nataka watu wajionee hizo picha.Unajuaje mimi kuleta picha hizo ndo nafanya utafiti hivyo?
 
Uongo mtupu.
Hiyo ni picha tu mkubwa wangu,kama nilivyoiokota hukoooo,hasa ukizingatia kuwa hili ni jukwaa la picha,na nyingine hiyo
1151857

lakini hiyo sio ya malaika aliedondoka ,tufurahie picha tu Mkuu.
 
Wazigua Wanasema Hombo Dikwela Munyu (Mlenda Umekolea Chumvi)
 
Back
Top Bottom