Nakushauri utumie hiyo pesa ya kusomea certificate kuwekeza kwenye mradi wa kilimo,ufugaji,au shuhuli yoyote ambayo unaona ita kupa kipato chakusonga mbele zaidi, kwa sababu ukianza certificate ya afya kumbuka kuna watu wa afya awamu mbili bado hawaja ajiriwa wapo mtaani Tanzania, Je wewe...
Una kasi yakuandika kwenye keyboard na kuhesaba pesa nyingi bilakutumia mashine, kiasi gani una weza hesabu? na kompyuta aina gani kati ya windows na mac unaweza tumia? na kasi yako yakuchapicha kwa kompyupa ipoje?
Hapana haiwezi tokea vyuo vikuu bado vina upungufu wa watu, na wanapenda wale walioonzia certificate hapo waendele mpaka degree, ila kwa yule alio anzia certificate semu nyingine diploma sehemu nyingine huwa inakuwa shida kwa baazi, ila na uwakika akianza kwenye chuo chenye vyote kwa pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.