Naishauri serikali ifute mamlaka ya TCRA

Naunga mkono hoja,
TCRA tuwe sisi humu member wa jf serikali iwe inatuletea mapendekezo tunayajadili kisha tunapiga kura tunapitisha kisha serikali inafanyia kazi hivyo nchi itaenda sawa.
 
Yaani tokea hao jamaa wa TCRA waipongeze JF kwa kufanya kazi njema na kuiomba mitandao mingine iige mfano wa utendaji kazi wa JamiiForums.......

Lakini ghafla wakageuka kwa 'maelekezo' ya Mfalme ambaye alikuwa akiombea Malaika washuke mbinguni na kuifungia JF..........

Ghafla na wao wakaamua kupiga U turn na kuamua kuunga mkono Polisi 'waliombambikizia' makosa kadhaa Melo na kumfikisha mahakamani!

Yaani baada ya hapo nawaona hao TCRA kama jipu fulani vile........
 
Kiukweli hawa wameshindwa kazi mimi naona TCRA ifutwe tu haina faida kwetu
Inatumika kisiasa
Imegeuka ngao ya ukoloni wa wachina tanzania kupitia startimes
Unajua TCRA imeanzishwa vp? ?mimi naona humu kuna watu wana IQ ndogo sana mtu anaanzisha maada halafu hajui hata TCRA imeanzishwaje!!ungekuwa unajua uisngeanzisha hii maada ungekuja na alternative nyingine
 
Maada = Matter
Mada = Topic
 
Sawa ni typing error haya kama utaweza kumsaidia mwenzako ntashukuru
Kumsaidia siwezi kwa sababu sijajua kinachomfanya aone bora ifutwe ni kipi, ila mimi nikiulizwa kwanini ifutwe nitasema ni kwakua haiendani na ile kaulimbiu yake ya 'kujenga uwanja sawa kwa pande zote'.
 
Yaani sijui kazi yao kubwa ni nini... maana kwenye simu majanga, ving'amuz ndio usiseme siku hizi hadi startimes unalipia
 
Chini ya utawala wa CCM hakuna kipya kinachoweza kufanikiwa au kufanyika kikawa na maslahi kwa wananchi..

CCM ikiondolewa madarakana wote tunaamini mashirika ya umma kama TTCL, TRL, TRL, TANESCO nk. yatakuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi tofauti na huu wa sasa unaoongozwa na matamko ya kisiasa zaidi ya ufanisi.
 
Yaani sijui kazi yao kubwa ni nini... maana kwenye simu majanga, ving'amuz ndio usiseme siku hizi hadi startimes unalipia
Utaacha kulipa unafikiri gharama za umeme na mafuta zakuendesha mitambo zitapatikana wapi? Kodi pia? wafanyakazi pia? lazima uchangie ili huduma ikufikie.
 
Kumsaidia siwezi kwa sababu sijajua kinachomfanya aone bora ifutwe ni kipi, ila mimi nikiulizwa kwanini ifutwe nitasema ni kwakua haiendani na ile kaulimbiu yake ya 'kujenga uwanja sawa kwa pande zote'.
Nenda kafahamu kwa nini ilianzishwa na kwa ulivyonjibu huna tofauti na mwenzako aliyeanzisha hii topic hiki kizazi cha sasa mnasikitisha sana
 
Halafu hawa TCRA walivyo wanafiki yaani hapa jf kila saa wapo online utakuta last seen ni leo ama jana hawajibu hoja wala hawapost thread cjui wametumwa humu
 
Ukitaka kujua tcra wanafanya kazi mtukane juma ponda mali hayapiti masaa 24 kabla hujakamatwa
 
Nenda kafahamu kwa nini ilianzishwa na kwa ulivyonjibu huna tofauti na mwenzako aliyeanzisha hii topic hiki kizazi cha sasa mnasikitisha sana
Mzee utakua una shida mahali. Wewe unang'ang'ania tujue kwanini ilianzishwa sisi tunaihukumu kulingana na matendo na maamuzi yake.
Hata kama ilianzishwa kwa nia njema lakini kama inaboronga tukae kimya kisa ilianzishwa kwa nia njema?
Wazee mnasikitisha sana.
 
Tatizo unachokiongea si kibaya ila unaongea kitu ambacho hukijui ndo maana nkakuuliza swali halafu ulichanganue then ndo tungekuja kwa unachokisema sasa tuone kama unachokisema kinaendana na hali inayowezekana au lah ila umeshndwa kujibu ndo maana nasema jukwaa linavamiwa na vilaza wengi sana
 
Ili kuthibitisha mimi siyo kilaza nakuchallenge sasa hivi mimi na wewe kila mmoja wetu atetee hoja yake kwa mifano na aoneshe chanzo chake cha taarifa.

Ukishindwa wewe ndiyo kilaza.
 
Kiukweli hawa wameshindwa kazi mimi naona TCRA ifutwe tu haina faida kwetu
Inatumika kisiasa
Imegeuka ngao ya ukoloni wa wachina tanzania kupitia startimes
Hiyo ina nafuu kuliko EWURA ambao wanataka bei zipande ili mgao wao uongezeke,hiki ni chombo kisicho na faida kwani kiliundwa kulinda sytem fulani,madaraka hayo apewe waziri ili ikipanda atumbuliwe.
 
Ili kuthibitisha mimi siyo kilaza nakuchallenge sasa hivi mimi na wewe kila mmoja wetu atetee hoja yake kwa mifano na aoneshe chanzo chake cha taarifa.

Ukishindwa wewe ndiyo kilaza.
Kila mamlaka imeanzishwa kwa sheria na mimi naona niishie hapa niendelee na mambo yangu sababu kama hujui serikali sababu zipi zilizofanya ianzishe mamlaka na kazi za mamlaka ni zipi tunabishana nini sasa
 
Hiyo ina nafuu kuliko EWURA ambao wanataka bei zipande ili mgao wao uongezeke,hiki ni chombo kisicho na faida kwani kiliundwa kulinda sytem fulani,madaraka hayo apewe waziri ili ikipanda atumbuliwe.
Kazi za EWURA ni zipi ukiachana na hyo ya kupanga bei? ?ukinijibu ntaamini mimi na IQ ndogo na ntalinganisha na ulichokiandika hapo juu uniprove wrong na ntaachana na jamiiforum
 
Back
Top Bottom