Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 951
- 843
Habari zenu wajumbe: Nilihitimu degree ya ualimu wa sanaa mwaka 2015. Masomo ya kufundishia ni eng na literature. Sasa kwa hali ilivyo inaonekana hakuna ajira kabisaa kwa wana art na lugha.
Naomba mnishauri nini cha kufanya kati ya haya; nisome certificate ya afya kwani nina DDC katk physics chemistry na bios respectively.
Au nitafute kazi shule za private, kitu ambacho nimejaribu lakini mambo bado ni magumu.
Sina hamu kwakweli na kama kuna msaada wowote wa kimawazo naomba mnishauri..