Muongozo kupata kazi bank

Ethos

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
2,294
2,000
Mimi nina diploma ya procurement and logistic management natafuta kazi bank
Nenda Bank yeyote onana na Manager au tumia wafanyakazi unaowafahamu waambie wakutafitie Internship au tuma maombi... Usitume online nenda moja Kwa moja..


Fanya hiyo internship Kwa miezi sita.. Fanya bure tuu..


The rest is history!
 

StanyRosa

Member
Jan 1, 2017
11
45
Nenda Bank yeyote onana na Manager au tumia wafanyakazi unaowafahamu waambie wakutafitie Internship au tuma maombi... Usitume online nenda moja Kwa moja..


Fanya hiyo internship Kwa miezi sita.. Fanya bure tuu..


The rest is history!
Good idea thank you
Ntafanyia kazi
 

SON2016

Member
Jan 3, 2016
64
125
Bank teller
Loan Officer
Una kasi yakuandika kwenye keyboard na kuhesaba pesa nyingi bilakutumia mashine, kiasi gani una weza hesabu? na kompyuta aina gani kati ya windows na mac unaweza tumia? na kasi yako yakuchapicha kwa kompyupa ipoje?
 

Upiversity

JF-Expert Member
Jun 19, 2015
3,526
2,000
Nina maana maalumu nilipo muliza hilo swali. vitu ambavyo havi kuhusu achana navyo.
....huna maana yoyote punguza mashauzi!
...na unajuaje havinihusu;wewe unaeuliza maswali ya kikuzi ndo achana na vitu visivyokuhusu;kimsingi huvijui!
 

Upiversity

JF-Expert Member
Jun 19, 2015
3,526
2,000
walio Ingia wote.walkuwa wanajua computer.huwezi ingia nyumba ya mtu bila kuelekezwa hiki choo .bafu na n,k kaka nenda kaombe utapata
....kuna kuzi mmoja anauliza maswali ya spidi ya kuhesabu hela kwa mkono,sijui kutype na aina ya kompyuta unayoweza kutumia wakati banks zinatoa training kwa waajiriwa wapya especially hawa wa ngazi za chini!
 

Upiversity

JF-Expert Member
Jun 19, 2015
3,526
2,000
Hivi vitoto vya fb toka vifunge shule vinasumbua kweli huku jamii forum wacha shule zifunguliwe tu. wewe kipi unacho juwa?
.....teh hee hee hee...,eti vitoto vya fb!
..kifupi,nachojua kujuwa kuhesabu hela kwa mkono wala spidi ya kutype wala aina ya kompyuta hakujawahi kuwa hitaji la msingi kwa mtu kuajiriwa bank!
..unapoanza kumuuliza mtu eti kama anavijua unaonekana kiazi tu zaidi ya sisi 'vitoto vya fb'
..na shule hatufungui sasa,una tatizo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom