Muongozo kupata kazi bank

.....teh hee hee hee...,eti vitoto vya fb!
..kifupi,nachojua kujuwa kuhesabu hela kwa mkono wala spidi ya kutype wala aina ya kompyuta hakujawahi kuwa hitaji la msingi kwa mtu kuajiriwa bank!
..unapoanza kumuuliza mtu eti kama anavijua unaonekana kiazi tu zaidi ya sisi 'vitoto vya fb'
..na shule hatufungui sasa,una tatizo?
Hitaji la msingi ni lipi?
 
Tafuta mganga akuweke sawa.

Unamshauri atafute mganga(spiritualist) yaani unamwelekeza kwa shetani/ibilisi badala ya Mungu/Allah!! Hivyo ni kumuangamiza. Aombe kwa imani yake kwa dhati atafanikiwa.
 
.....ngoja nikachume mianzi ndo nije kukuelekeza mana inaonesha mwanafunzi wewe bichwa lako gumu kuelewa;bila fimbo ntakuwa natwanga maji kwenye kinu!
...nisubiri hapo hapo!
Kwahiyo ulicho jibu ndo hitaji la msingi ? unaulizwa hichi una jibu kingine yani hujielewi, kinachokujia kichwani tu unaandika.
 
Kwani lazima benki? Mbona unaji limitia riziki hivyo? Au procurement wote mmeandaliwa kwa ajili ya benki
 
Kwahiyo ulicho jibu ndo hitaji la msingi ? unaulizwa hichi una jibu kingine yani hujielewi, kinachokujia kichwani tu unaandika.
....tuliza basi kiherehere;kama ulikuwa hujui hitaji la msingi ambayo ndio dhima ya huu uzi,majibu yako ya awali yalilenga nini??....
 
Amesema anataka kuwa bank teller lazima aweze kuhesabu kwa mkono tena kwa speed,ili mashine zikizingua za kuhesabia hela,aweze kutoa huduma kwa wateja,la sivyo awe anaenda na 50,000 hadi 100,000 kufidia loss anayopata
 
ahaaa huo ndo ukuda niende na 50 mshaara wenyew 400000
 
Yan watu kama hao ningekua na uwezo hata makofi ningewatandika

Mtu anaomba asaidiwe yeye anampa vikwazo na kumkatisha tamaa

.....nahisi alikuwa anamset ajae kwenye 18;maana kwa mtu anaefahamu asingeweza kumuuliza mleta uzi eti unataka kufanya kazi gani hasa bank....alipojibiwa ndo akaja na pumba kabisa;
....si mjinga jamaa,ana "maana maalum" kama alivyodai mwenyewe!
 
Ndo waleee wa kushinda vijiwen hawana la kufanya.

MTU anae jua maisha anae jishughulisha hawezi tolea kinyesi mdomoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom