Msaada: Kwa matokea haya nitamsaidiaje huyu kijana?

Mig8

Member
Jul 20, 2016
15
2
Kwa matokea haya nitamsaidiaje huyu kijana? Naomba mawazo yenu afanye fani gani?
Civics D
English D
Kiswahili D
Biology E
Mathematical F
Chemistry F
Geo F
Physics F
History F
 
Asikate tamaa, anatakiwa atafute fani anayo ipenda na ipo sokoni akaanze na certificate, asiangalia matokeo hayo yata mzofisha kimaendeleo, yeye atafute fani aanze upya certificate.
 
Lakini mkuu nmeckia hawa wanaoanzia certificate hawataingia vyuo vikuu... Cjui nlielewa vibaya
Kwanini asirudie tuu
 
Hapana haiwezi tokea vyuo vikuu bado vina upungufu wa watu, na wanapenda wale walioonzia certificate hapo waendele mpaka degree, ila kwa yule alio anzia certificate semu nyingine diploma sehemu nyingine huwa inakuwa shida kwa baazi, ila na uwakika akianza kwenye chuo chenye vyote kwa pamoja mambo yatakwenda vizuri tu.
 
Kwa matokea haya nitamsaidiaje huyu kijana? Naomba mawazo yenu afanye fani gani?
Civics D
English D
Kiswahili D
Biology E
Mathematical F
Chemistry F
Geo F
Physics F
History F
Arudie mtihani..
Na uwe karibu naye mno kwa counselling ..umpe moyo tena umpe moyo hasa ya kuwa anaweza. na ufuatilie maendeleo yake..
*msajili katika tuition centre yenye tija.. sio hizi za ujanjaujanja..
*muombe akubali kudrop mambo mengine kwa kipindi hiki tu.. na umsimamie aanda ratiba mbili...
1. moja ya kazi za kila siku (mfano. Kuamka..usafi.. tuition..maombi..kujisomea..kulala) anasa na safari zisizo maana azitoe..
2.mbili.. ratiba ya kujisomea ..mfano j3 hadi j2.. from saa fulani hadi fulani.. siku fulani somo gani..
...
N.B . mind refreshing activities ziwepo ila kwa utaratibu maalum.. mfano aangalie taarifa ya habari.. j1 na j2 apate japo 2 hrs za kusocialize..
....

KUBWA mshauri asome mno geo..bios.. chem..phy.hist.math
Ningekuwa ndio yeye ningerudia mtihani nikitarget kuja soma masomo ya kilimo na ufugaji..
 
Asikate tamaa, anatakiwa atafute fani anayo ipenda na ipo sokoni akaanze na certificate, asiangalia matokeo hayo yata mzofisha kimaendeleo, yeye atafute fani aanze upya certificate.
Kwa miaka ya nyuma angesoma certficate ila kwa sasa certficate ni pass nne arudie tu mtiani wake amna shida uku akimuomba mungu
 
Arudie mtihani..
Na uwe karibu naye mno kwa counselling ..umpe moyo tena umpe moyo hasa ya kuwa anaweza. na ufuatilie maendeleo yake..
*msajili katika tuition centre yenye tija.. sio hizi za ujanjaujanja..
*muombe akubali kudrop mambo mengine kwa kipindi hiki tu.. na umsimamie aanda ratiba mbili...
1. moja ya kazi za kila siku (mfano. Kuamka..usafi.. tuition..maombi..kujisomea..kulala) anasa na safari zisizo maana azitoe..
2.mbili.. ratiba ya kujisomea ..mfano j3 hadi j2.. from saa fulani hadi fulani.. siku fulani somo gani..
...
N.B . mind refreshing activities ziwepo ila kwa utaratibu maalum.. mfano aangalie taarifa ya habari.. j1 na j2 apate japo 2 hrs za kusocialize..
....

KUBWA mshauri asome mno geo..bios.. chem..phy.hist.math
Ningekuwa ndio yeye ningerudia mtihani nikitarget kuja soma masomo ya kilimo na ufugaji..
Asante sana mkuu kwa ushauri mzuri
 
Back
Top Bottom