Nahitaji camera (canon au nikon)

Oluwa ni

JF-Expert Member
May 24, 2015
717
445
Wakuu habari zenu.....

Poleni sana na majukumu....
Nahitaji camera aina ya canon au nikon

Condition
1. Iwe used au mpya
2. Iwe katika hali nzuri
4. Iwe complete kuanzia betri, charger, lens
3. Bajeti yangu ni 400k

Ambaye anayo aje PM
 
Ipo canon D700 kwa 1milion na laki 2. lens+memory+tripod+bag+2battery+charge+external wireless mic.
 
Wakuu habari zenu.....

Poleni sana na majukumu....
Nahitaji camera aina ya canon au nikon

Condition
1. Iwe used au mpya
2. Iwe katika hali nzuri
4. Iwe complete kuanzia betri, charger, lens
3. Bajeti yangu ni 400k

Ambaye anayo aje PM
mkuu laki 4 utasumbuka sana kupata hio kitu kwa wakati
ongeza bajeti mpaka mil 1.2 hivi kisha mtafute SON2016
 
Laki nne? Laba jaribu kupitia kupatana. Com unaweza bahatisha ila budget yako ni kidogo sana mkuu
 
Wakuu habari zenu.....

Poleni sana na majukumu....
Nahitaji camera aina ya canon au nikon

Condition
1. Iwe used au mpya
2. Iwe katika hali nzuri
4. Iwe complete kuanzia betri, charger, lens
3. Bajeti yangu ni 400k

Ambaye anayo aje PM
Ninayo ila haina charge halafu n fixed lens bei 350k
 
Back
Top Bottom