Rosemarym Mwakitwange
Member
- Sep 10, 2016
- 63
- 170
Bado kuna wanafunzi wengi wanafeli mitihani ya kidato cha 4 na cha 6. Wengine walishafeli zamani wakarudia mitihani, na bado hawakupata alama, sasa hawajui cha kufanya. Kwa bahati mbaya wengi wao hata nyumbani wameonekana magalasa, wengi wanalazimishwa kwenda kusomea ualimu, ama computers??. Ninaona nikipita mitaani vijana wamejaa wanazagaa zagaa. Ni kwa sababu hii tumeanzisha kituo cha mafunzo kwa vijana eneo la tegeta. Kama wewe unandugu yako, au mwanao aliyefeli na kuonekana hafai, mlete kwetu tuna mafunzo yatakayofufua matumaini yenu. Niishashirikisha taarifa humu ndani,
1.Mafunzo ya Uandishi wa habari kwa ngazi ya certificate kwa vijana wa kike
2. Mafunzo ya tuition kwa form 4 na repeters kwa masomo ya Biashara ( Commerce, Book/Keeping)
3. Mafunzo ya basic na foundation kwa maofisa ugavi na wahasibu,
Qualifications, Ufaulu huo ulionao unafaa, tuna program nyingi za kuku upgrade karibu sana Kituo kiko Tegeta Masaiti na uandikishaji unaendelea.
hauna mtoto mjinga kila mtoto anakitu ndani yake, ni sis wazazi, walezi na jamii tunaowanyanyapaa. Tumejipanga kuhudumia taifa hili kwa mambo yale madogo tunayoyaweza.