Recent content by somvi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujiunga na Watumishi portal

    Habarin wanaforum, kwa mwenye kujua jinsi ya kujiunga na hiyo portal . zip ni criteria muhimu zaid ya jina, email. Na check no?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Usikubali kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa

    Usifanye dhambi ukitegemea utatubu, usipopata neema ya kutubu utakuwa wapi? Nani ajuaeye siku zake za kuishi????
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tupeane uzoefu mchujo wa sekretariet ya ajira.

    Kweli
  4. S

    JamiiForums Tanzania The Truth About Easter And The Secret Worship Of Annunaki

    Uko sahihi ila tujifunze zaid ktk hili kwan nadhani kuna tofaut kati ya easter na pass over....!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhus ajira mpya.

    Habarini wadau, nilipatlngiw kituo na sekretriat ya ajira Feb 2016 ktk halmashaur, baada ya kukamilisha taratibu za kuajiriwa nikaambiwa nirudi nyumbani had nitakapo itwa tena na kuanza kupata mshahara. Baadae nilipowasiliana na Hr alinambia sijapata chek no. Na baadae zoez LA uhakiki...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kujaza upya mikataba ya ajira kwa waliositishiwa

    Utawezaje kufanya kazi bila pesa ya kujikimu wala mshahara? Ni vigumu kuishi kwa hayo mazingira
  7. S

    JamiiForums Tanzania Live Kutoka Leaders Club: Maandalizi ya Maandamano ya vijana watafuta Ajira 13.09.2016

    Hoja iliyopo so kwamba serikali iajiri wote Bali serikali itoe fursa ya kuajiri
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi sekretarieti ya ajira wametoa

    www.ajira.go.tz
  9. S

    JamiiForums Tanzania Connection zinapatikana wapi?

    Hatufundishani kwa mtindo huu ndg
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi freelancers needed

    Ndugu HV hujajua taratibu za kukazi had Leo....
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Habarini wana jamvi, Mimi nilipangiwa kituo cha kazi na sekreteriat ya ajira tangu February mwaka huu, nikaenda kureport nikambiwa nirudi nitapigiwa simu niambiwe lini niende kuanza kazi rasmi. Ukapita mwezi bila kupata taarifa, nilipompigia hr akanieleza kuwa sijapewa check no. Japo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha miti

    Asante ndg.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Bei ya kiwanja na ukubwa wake

    Habar, mkurugenz wa wilaya ya Nanyumbu ametangaza kuuza viwanja kwa ajili ya makazi, biashara na huduma za kijamii. Naomba kuuliza nahitajai mita ngapi za mraba kwa ajili ya nyumba ya vyumba vitano na mabanda?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha miti

    Habari wana Jamii Forum, hongereni kwa hatua ya uchaguzi. Naomba msaada jwa yeyote mwenye ujuzi wa kilimo cha miti. Mimi ni graduate wa jinsia na maendeleo bado cjapata ajira had sasa nafikirikujiajiar kwenye kilimo cha miti. uwezo wa kupata eneo la kufanyia kazi km hekari 3-4 ninao. Je, ni...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mtandao

    Habari wadau, nahitaji kujuzwa kiukweli.. kuhusu biashara ya mtandao km vile forever living. ni kweli inakuwa na faida ulilinganisha na biashata zingine km kuuza duka?
Back
Top Bottom