S somvi Member Aug 14, 2015 17 4 May 25, 2017 #1 Habarin wanaforum, kwa mwenye kujua jinsi ya kujiunga na hiyo portal . zip ni criteria muhimu zaid ya jina, email. Na check no?
Habarin wanaforum, kwa mwenye kujua jinsi ya kujiunga na hiyo portal . zip ni criteria muhimu zaid ya jina, email. Na check no?
Good Father JF-Expert Member Feb 28, 2014 10,323 18,541 May 26, 2017 #2 Ingia kwenye web yao utajaza vitu unavyoombwa kujaza, majina,email na cheque number yako