Habarini wadau, nilipatlngiw kituo na sekretriat ya ajira Feb 2016 ktk halmashaur, baada ya kukamilisha taratibu za kuajiriwa nikaambiwa nirudi nyumbani had nitakapo itwa tena na kuanza kupata mshahara. Baadae nilipowasiliana na Hr alinambia sijapata chek no. Na baadae zoez LA uhakiki likasimamisha ajira yangu. Baadae Nov mwaka Jana nikaitwa na kuambiwa naajiriwa tena upya mwez huo na ajira ya awali imetenguliwa hata hivyo mkuu wa idara ananiambia nisubiri huku nyumbani had pale nitakapoingiziwa mshahara . Hivi ktk hali hii nini nikifanye .