Hata mimi nimesikia tena nimeambiwa na traffic wakati nipo kwente foleni magomeni na kwa mujibu wa traffic huyo (manadada) wala co ndege ya kibongo ni ya ughaibuni,mwenye vipashio zaidi atuweke wazi.
da hawa watu watoke tu jamani,unajua sheria kila mtu anazivunja kwa namna yake but kuna mda tufike tutumie ubinadamu kuamua mabo mimi naamini kama sheria ikitumika popote hata hao mahakimu na mawakili hakuna atakae baki wote tuta ishia jail 4 life
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.