TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,873
- 11,252
Smatta,
As other members have opined, these signings are between some rich
people who are out to fleece the masses in all three countries. That is
where the zeal is coming from.Corruption abounds in Kenya while in Tanzania
it goes unabated yet we turn a blind eye to stemming such. Wajinga ndio
waliwao and when the dust settles the poor man will be as poor as he was
when the drama started.
Regards.
Mkuu, last friday na saturday palikuwa na TV program kwenye channel 24 na citizen (kama sikosei) kuhusu hiyo opening ya hizo border kiuchumi, i could see wale wachumi magwiji wa kenya walivyokuwa wanashangilia a "dream come true", nilifurahi sana kwasababu pamoja na dharau na kila kitu they saw hii kama opening ya kufa mtu hasa kwenye investiment, my first reaction was... its going to be only one way traffic ya investiment and i am right... these integration huwa haziwapi nafuu sana akina smatta au MTM, ni za akina matiba, lowassa, mengi, rostam nk
we subiri kuona yale ya east na west german!!!