Recent content by solihoo

  1. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA sasa IKAWA?

    Kila siku ukawa ukawa .... Nyie bhaaaaaanaaaa, wahenga walinena mti wenye matunda hauchokwi kupigwa mawe.... Acheni hizo jameni ummezidi ucomedi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye hakamatiki Mtama, mafuriko yajitokeza uzinduzi wa kampeni

    Nape kabaniwa mbavuni na ukawa,
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kubenea anawakilisha tatizo jipya la Uongo katika jamii!

    Ishu ya Richmond mwny ukweli wake atuanikie humu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kubenea anawakilisha tatizo jipya la Uongo katika jamii!

    Kubenea amegusia vitu, kama :- A) ubinafsishwaji wa uda B) Mkataba wa Richmond C) N.K Naomba tujadiliane A~B Je? Kwa nia thabiti ya taifa hili letu, ni kigezo kipi serikali ilikiona cha kubinafsisha UDA?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Vitu vya ndani vinauza kwa bei ya OFA

    0713877576 zangu hzo ncheki tuongee fresh
  6. S

    JamiiForums Tanzania Selfie ya Dr Slaa na first lady aliyekuwa akitarajiwa

    Kwellliiii
  7. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa must be ashamed of himself. Anna Mghwira kamzidi kutawala jukwaa!

    Anafanya siasa nzuri na nimuongeaji mzuri anatufaa watanzania
  9. S

    JamiiForums Tanzania Breaking news:mwakibinga ahamia act-wazalendo leo

    Act kitagawaje kura za ukawa.... Embu fafanua tuweze kuelewa vizur ndg mtanzania mwenzangu??
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nikki wa II, siasa hazikufai, chunga mdomo wako

    Duuh! Kazi ipo
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupeane uzoefu juu ya kuoa mwanamke mwenye watoto na aliyeachika

    Hamna tabu, mm mwenyewe ninalea watoto wawili pamoja na mama yao.... Is the matter of formular
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kadi ya CHADEMA imenirudishia wallet yenye pesa na vitambulisho

    Watake wasitake mwaka huu, UKAWA tutashika hatamu Alafu Jana katika kipindi cha siasa za siasa, niliboeka sana kuwaeka wote masisiemu ndo nn.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Andika maneno japo 10 ya kujibu huu ukatili

    Ahojiwe kwa kina, huwenda kuna kitu nyuma ya pazia PLUS sheria ya kuwalinda watoto ishike mkondo wake
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mauzauza: Vitu vya ajabu vinamtokea ndugu yangu akiingia kwenye nyumba anayoijenga

    Mungu amsaidie, kama ni mtu anaefanya maombi, aendelee na maombi, pengine ni mitihani ya mungu kwa mja wake, Akiingia kwny ushirikini , atamchukiza mungu aendelee kulia na mungu tuu
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa

    Kiongozi ni kioo ktk jamii wana jf wenzangu jioneeni tukio hili, muda mwingine tukubali ukweli ndg zangu ndugai kwa status aliyejiwekea hakupaswa kufanya hvyoo nimemshusha thamani kabsaaaa.... Msishangae akipeperusha Bender's ya kongwa, yelewuuuu
Back
Top Bottom