Lowassa must be ashamed of himself. Anna Mghwira kamzidi kutawala jukwaa!

Lowasa kwa kweli anatuvunja moyo hasa wasomi,tunajua ni mtendaji mzuri lakini ingependeza zaidi kama angekuwa anaongea vipaumbele vyake ili kuwaaminisha wapiga kura kwa kile anachoongea,kama kutatokea mdahalo wa uraisi basi lowasa atatuaibisha sana watanzania wapenda mabadiriko
 
Acha kututania wew...yule mama alitetemeka mikono au macho yako ndo yalikua yanatetemeka...be honest, mgombea anayetetemeka mikono hop unamfaham.
 
Mkuki kwa Nguruwe mbona Kubenea na gazeti lake la Mawio kila siku yanamshambulia Zitto na ACT hatujakuona ukisema lolote? Tanzania daima ikiishambulia ACT ni sawa, lakini UKAWA wakiambiwa ukweli inakuwa nongwa.
Naona Mchange aliwashika sehemu nyeti, tulia dawa iingie

Iingie mara ngapii??
 
Huyu MAMA wa ACT amemzidi Lowassa kila kitu.

Hakika Lowassa umetuaibisha sana wanaume wa Tanzania.

Yani ulishindwa jaribu hata ongea kama huyu MAMA.??

Sad.

Ulitaka afanye kama diamond jukwaani? Watanzania tumieni akili basi hata kdg basi, yaani mmezoea kusikiliza hadithi ndeeeefu ndio mnaona sera nzuri? Ndi maana mmerubuniwa miaka mingi na bado hamjajitambua! Very sympathetic!
 
Watu wamejawa na wivu wa hovyo tu Mama kajitahidi kusema kweli
 
Mtaongea weee lakini siku yamwisho lowassa ndio rais.alafu kama vile act hawajitambui yani unalinganisha mbuyu na mchicha?
 
Mfuate basi huyo mama ukakeshe nae mkiongea. Hapa ni Lowassa na UKAWA tu.
 
Tatizo siasa za Tanzania ni za kishabiki tu. Yaani kama kweli watu tusingekuwa wavivu wa kufikiri, huyu mama na chama chao cha ACT wako vizuri zaidi.
 
Huyu MAMA wa ACT amemzidi Lowassa kila kitu.

Hakika Lowassa umetuaibisha sana wanaume wa Tanzania.

Yani ulishindwa jaribu hata ongea kama huyu MAMA.?

Sad.

Uongeaji sana wa kiongozi hudhani huwaridhisha watu anaowaongoza kwa maneno matamu na.ahadi za kutamka tu.
Kiongozi anayeongea kidogo hufanya vitendo zaidi.
Hatutaki gonjera majukwaani zimetosha na hazina tija miaka yote tangu tumeitwa nchi.... reserve this even for your personal performance!
 
Back
Top Bottom