UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
Mbona hautupi matokeo mpaka now nani anaongoza na kwa kiwango gani?
 
Mbona hautupi matokeo mpaka now nani anaongoza na kwa kiwango gani?
Mpaka dakika hii Lowassa na Ukawa wanaongoza kwa mbali sana kwa asilimia 85 na Magufuli ameachwa kwa mbali mno akiwa anachechemea akiwa na asilimia 15 pekee!

Inabidi maccm wakubali tu yaishe na waanze tu zoezi la kuikabidhi Ikulu, kwa kuwa uchaguzi hiyo tarehe 25 utafanyika kukamilisha tu formality lakini mshindi kiuhalisia keshapatikana, naye si mwingine bali ni EDO THE GREAT.
 
Lowasa, jamani uhakiki wa majina msaada please,haileweki.tuitieni lubuva.
 
Lowasa, jamani uhakiki wa majina msaada please,haileweki.tuitieni lubuva.

Kwani hujasikia tamko la Lubuva?

Keshalizuia goli la mkono alilotaka kulifunga Nape, katamka kuwa kila aliyejiandikisha na kupewa kitambulisho cha kupigia kura, akienda kituo alichojiandikishia atapiga kura zote 3 ambazo ni za Rais, Mbunge na Diwani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom