Vitu vya ndani vinauza kwa bei ya OFA

Vitu vya ndani vinauza kwa bei ya OFA

Umenishtua ulivyosema vitu vya ndani nikajua utumbo,figo,bandama,maini!!! NEXTLEVEL siku nyingine heading ijitosheleze kabla ya content
 
Last edited by a moderator:
Westpoint Fridge habari nyingine kabisa.
Yaani kama unataka Fridge la maana kwa wajanja basi hilo ni mwake na anauza bei nzuri saana.
Maana used Zanzibar tu fridge hizo ni ghali sana.Nilinunua tangu naona mpaka leo miaka kumi na bado sijamuita fundi,tena nilinunua used.
Na Mother na ndugu zangu Dar wakitaka fridge basi lazima nilitafute kwa udi na uvumba mpaka nilipate licha ya kwamba used ni Tabu sana kuyapata.

Mleta post nimependa style yako ya maisha,maana unajipenda sana.Aisee kabati bei bure kabisa

Hembu saidia wanunuaji Fidge lako ni la gesi au Coil(Hapa kidogo unaweza usinielewe kama sio mambo yako)
Maana nikiangalia kwa haraka naona ni la Coil ambayo ndio yenyewe haswaaaa,maana yale ya gesi umeme ukizima dakika kumi huna kitu.
 
Ndugu,kuna maFridge fulani yanaitwa "MAXIMA",,Vp unayazungumziaje? Ubora wake upoje??
 
Wewe Geee ndo ndorobooooo maana mwanzo alikua hajaandika yuko wapi baada yakumwambia ndo akasema yuko wapi acha maneno machafu mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom