Breaking news:mwakibinga ahamia act-wazalendo leo

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
659
Reaction score
400
Yule mwanasiasa na mpigania haki machachari na nguli toka enzi za chuo kikuu udom na aliekua na nafasi za juu katika chama cha chadema, amehamia act-wazalendo rasmi leo muda huu.

Source ni mi mwenyewe na niko nae hapa sasa.
 
Oil chafu na Makapi hayo, UDOM Nacho ni chuo.
 
Wewe uko chama gani sasa hivi kama rafiki yako kahamia act? Hongereni wajemeni.
 
Yani akili yote alotoka nayo Udom, bado anaenda kugawa kura za upinzani? Daah, hivi watz tunaelekea wapi?
 
Yule mwanasiasa na mpigania haki machachari na nguli toka enzi za chuo kikuu udom na aliekua na nafasi za juu katika chama cha chadema, amehamia act-wazalendo rasmi leo muda huu.

Source ni mi mwenyewe na niko nae hapa sasa.
hana akili huyo pamoja na kupambana akiwa chadema badu tu akapata tamaa ya kuingia act.huyu ni hatari kumbe
 
Oil chafu na Makapi hayo, UDOM Nacho ni chuo.

we hata robo ya akili ya mtu aliyesoma UDOM hufikii.Mwakibinga anajitambua naye yupo huru kama akina EL,Ester,James,ole mede nk.tuheshim demo-clasio
 
Jamaa anajitambua sana
 
Yule mwanasiasa na mpigania haki machachari na nguli toka enzi za chuo kikuu udom na aliekua na nafasi za juu katika chama cha chadema, amehamia act-wazalendo rasmi leo muda huu.

Source ni mi mwenyewe na niko nae hapa sasa.

Mtu anayeenda kugawa kura za upinzani unamwitaje mpiganaji!
 
Chama cha wasaliti ACT. Mke wa CCM. Hongera zenu kwa kupata mme mpya
 
Huyo amejitambua mapema haweza hatawezi kununuliwa na mafisadi
 
Act kitagawaje kura za ukawa.... Embu fafanua tuweze kuelewa vizur ndg mtanzania mwenzangu??
 
Back
Top Bottom