Kubenea anawakilisha tatizo jipya la Uongo katika jamii!

Kubenea anawakilisha tatizo jipya la Uongo katika jamii!

meningitis

Yaani wewe ndiyo tukushangae kwa sababu ndiyo umeamua kuandika uongo hapa!!

Mimi nimefuatilia hotuba ya Kubenea mwanzo mwisho kupitia TV, alichokisema ndiyo ambayo mwanasiasa yeyote asiye mwoga atayasema!!
 
We meningitis ndo hujui ukweli ulikua wapi kufahamu kuwa zipo mbili...!!? Hilo linafahamika mbona miaka sasa
 
Mfungwa ni vizuri ukifunguka ili ufunguliwe, neno hili alilitumia rais mstaafu likapokelewa kwa mtazamo hasi. Kwa nini nawe umependa kulitumia dhidi ya Kubenea? Upumbavu wake ni upi? Agenda yako ni nini juu ya kubenea? Ni vema ukijenga hoja yenye msingi wa maendeleo ya umma!!

Mfungwa alikuwa amefungwa ila lowasa kaniondoa sasa magufuli. Nilipenda chadema ila lowasa kaniondoa fisadi papa siwezi kumpa kura yangu. Kubenea alikua mtu safi ila nilimshangaa kuanza kuungana na fisadi papa. Lowasa na sumaye ni mafisadi wenye uzoefu. Weka na Gwajima mshauri mkuu wa lowasa na waziri asiye na wizara maalum. Kweli chadema yangu Tamaa.
 
Kitaturu

Kama umefuatilia basi kuna mawili wew ni MBUMBUMBU wa kisiasa au wew ndio wale NYUMBU wnyewe ambao kesho wakiambiwa LOWASA ni fisadi utashangilia tena kama NYUMBU tena
 
Last edited by a moderator:
meningitis

Mkuu ua ndege wawili kwa jiwe moja.sema no kwa ccm utakuwa umemaliza uongo,siasa za maji taka,ufisadi na takataka zote zinazotokana na ccm
 
Last edited by a moderator:
Kama umefuatilia basi kuna mawili wew ni MBUMBUMBU wa kisiasa au wew ndio wale NYUMBU wnyewe ambao kesho wakiambiwa LOWASA ni fisadi utashangilia tena kama NYUMBU tena
 
Mfungwa alikuwa amefungwa ila lowasa kaniondoa sasa magufuli. Nilipenda chadema ila lowasa kaniondoa fisadi papa siwezi kumpa kura yangu. Kubenea alikua mtu safi ila nilimshangaa kuanza kuungana na fisadi papa. Lowasa na sumaye ni mafisadi wenye uzoefu. Weka na Gwajima mshauri mkuu wa lowasa na waziri asiye na wizara maalum. Kweli chadema yangu Tamaa.
mkuu Hawa jamaa wanafanyia ufisadi wao wapi?nchi hiyo haina serikali?hivi watu wa nchi hii ni lini tutakuwa na akili?kila siku mnakatazwa kujichukulia sheria mkononi ninyi bado mnafanya Yale yale,poleni zenu na ccm yenu na ndiyo maana inawaita malofa na wapumbavu kwa Kuwa inawajua A to Z
 
Kwani wananchi tuna uhakika gani kwamba waliyoandika Mwakyembe na kamati yake ni kweli.Katika mazingira ya kisiasa tuliyonayo leo Tanzania,anything is possible.Kwa nini tusiamini kwamba ripoti ile ilipikwa ili ku-meet political needs of the time.Msituchanganye.
meningitis
 
Last edited by a moderator:
[h=3]"If Tomorrow Starts Without Me"[/h]
If Tomorrow Starts Without Me…

If tomorrow starts without me, and I’m not here to see,
If the sun should rise you find your eyes all filled with tears for me;
I wish so much you wouldn’t cry the way you did today,
While thinking of the many things we didn’t get to say.
I know how much you love me, as much as I love you
And each time that you think of me, I know you’ll miss me too.
But when tomorrow starts without me please try to understand,
That an angel came and called my name and took me by the hand.
He said my place was ready, in heaven far above
And that I’d have to leave behind all those I dearly love.
But as I turned and walked away a tear fell from my eye.
For all my life I’d always thought, I didn’t want to die.
I had so much to live for, so much left yet to do.
It seemed almost impossible that I was leaving you.
I thought of all the yesterdays the good ones and the bad.
I thought of all the love we shared, and all the fun we had.
If I could relive yesterday, just even for a while,
I’d say goodbye and kiss you and maybe see you smile.
But then I fully realized that this could never be,
For emptiness and memories would take the place of me.
When I thought of worldly things I might miss come tomorrow
I thought of you and when I did my heart was filled with sorrow.
When I walked through heavens gates I felt so much at home.
God looked down and smiled at me from his great golden throne
He said, “This is eternity and all I’ve promised you”
Today your life on earth has passed but here life starts anew.
I promise no tomorrow, but today will always last
And since each day is the same there’s no longing for the past.
You have been so faithful so trusting and so true.
Though there were times you did some things you knew you shouldn’t do.
You have been forgiven and now at last you’re free.
So won’t you come and take my hand and share my life with me?
So when tomorrow starts with out me don’t think we’re far apart,
For every time you think of me, I’m right here in your heart.
​
 
mkuu Hawa jamaa wanafanyia ufisadi wao wapi?nchi hiyo haina serikali?hivi watu wa nchi hii ni lini tutakuwa na akili?kila siku mnakatazwa kujichukulia sheria mkononi ninyi bado mnafanya Yale yale,poleni zenu na ccm yenu na ndiyo maana inawaita malofa na wapumbavu kwa Kuwa inawajua A to Z

Shida za Kiafrika unazijua, lowasa na sumaye wangekuwa nchi nyingine hata jukwaani wasingeongea. Pia kuambiwa sana ni kama "wanakifungo cha ndani", ndugu kweli watu wanawaza Lowasa awe Rais wa wapi? Labda Burundi. Kibaya baada ya uchaguzi atakuwa ametuulia upinzani kwani hawezi kuunda Chadema,yeye ni maslai ya Urais akikosa basi.
 
Da mleta mada anajua kuchana mistari anafaa kuimba tarabu
 
CCM imechokwa,haikubaliki na haichaguliki.Weka mbali na watanzania.Kamwe mbu hawezi kutibu malaria!

Sasa imechokwa na nini kama matapeli na mafisadi wakubwa ndio tumewakumbatia. Hoja yetu sasa kama ukawa ni nini. Acheni ujinga na ulofa. Sasa hivi hatuna ajenda yoyote ya maana na kuchukulia ushindi. Dr Slaa mbona aliona alama za nyakati mapema. Nampongeza sana, big up
 
We mwakiembe kakutuma,sasa nenda kamwambie wananchi wameustukia huo mchezo
 
KWELI ccm MNA HALI MBAYA SAAAAAAANAAAAA. MKO HOI TAABANI.

KAMA MNAAMINI ccm NI CHAMA BORA NA MTASHINDA MBONA KELELE NYINGI SANA.

KWA NINI MNAWOGOPA LOWASA? KWA NINI MNAOGOPA UKAWA?
WATU WENYE UHAKIKA NA MAFANIKIP YAO HUWA HAWAPIGI KELELE KIASI HIKI.

UKWELI NI KWAMBA MAJI YAKO SHINGONI. MNATAPATAPA.

MWAKA HUU MNALO. LITAWATOKEA PUANI.
 
meningitis

Wewe ukweli wako Upo wapi? Kama unasoma machapisho yake utakua ushamuelewa kipindi kile na sasa anamaanisha nini. Unaonekana unataka kujua ila hayo maswali yako kamuulize mwakyembe aliyepewa kamati kuiongoza kuandika vitu na vyengine kuviweka pembene kwa maslahi ya taifa.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom