Recent content by sokoMchizi

  1. sokoMchizi

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu

    Aisee
  2. sokoMchizi

    JamiiForums Tanzania Short course gani ilibadili maisha yako?

    Wahindi wawapi mkuu
  3. sokoMchizi

    JamiiForums Tanzania Inachukua Muda gani kwa mwanachama Mpya Wa NHIF kupata kadi ya bima?

    Habari wakuu , Nahitaji kufahamu inachukua Muda Gani kwa Mwanachama Mpya Wa NHIF kupata Bima ya Afya Baada ya kulipia. Na je baada ya kulipia Anaweza Pewa Namba ya Bima yake akaendelea Kuitumia Huku Akisubiri kadi ya Bima?
  4. sokoMchizi

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Mtoto mdogo kutumia Maziwa ya kopo kwa zaidi ya Miezi 7

    Habarini, Ninaomba Kuuliza kwa wazoefu , Endapo Mama anachangamoto ya Maziwa kutoka toka Mtoto ana mwezi Mmoja Je ni sahihi kwa mtoto kuendelea kupewa maziwa ya kopo hasa Lactogen kwa zaidi ya Miezi 7? NOTE: Mama Ana upungufu wa maziwa toka Akiwa na mwezi Mmoja yamekuwa hayatoki hata yakitoka...
  5. sokoMchizi

    JamiiForums Tanzania Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

    Na wameru
  6. sokoMchizi

    JamiiForums Tanzania Ujuzi juu ya kukwepa deni instagram sponsored AD

    Nilifanya hivo ila ile acc ya zamani nataka kuirudia ili niwalipe option siioni tena na , nime unlink na fb ili irudi yazamani ila haitokei
  7. sokoMchizi

    JamiiForums Tanzania Huwezi Futiwa Deni Facebook Ads (Sponsor ads) Usitapeliwe Kizembe!

    Ukitaka kurudisha acc yenye deni ili ulipe baada ya kukwepa unafanyaje
  8. sokoMchizi

    JamiiForums Tanzania Ipi salama zaidi kununua kiwanja kwenye kampuni za viwanja au mtu binafsi?

    Habari Wanajamvi, Ninaomba Kuelimishwa ukiachilia mbali gharama ipi ni njia salama zaidi kiuhalali ,na kiurahisi kununua kiwanja kwa mtu binafsi au kampuni , ili kuepuka utapeli wa hati mbili mbili au kiwanja kimoja kupewa watu wawili.
  9. sokoMchizi

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

    Katika Dunia yaleo Kila Sekta Imekuwa na Matapeli na watu wakweli hakuna sekta iliyopure asilimia 100 bila uongo na Ukweli. Je ,nikitu Gani Ushasaidiwa na Mganga wa kienyeji Ukaamini Waganga Wakweli wapo
  10. sokoMchizi

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa Mtu Aliyesoma certificate ya Ualimu Grade A afanye nini Kujiendeleza

    Habari za wakati huu wakuu, Nina Mdogo wangu Amemaliza certificate ya Ualimu Tabora Teachers college Grade A , ila Nilitaka ajiendeleze apate Diploma Ila kwa bahati mbaya sijapata chuo kinachotoa Diploma ya ualimu wa shule ya Msingi. Ninaomba ushauri ni chuo gani anaweza pata diploma...
Back
Top Bottom