Ipi salama zaidi kununua kiwanja kwenye kampuni za viwanja au mtu binafsi?

sokoMchizi

Member
Oct 15, 2022
48
199
Habari Wanajamvi, Ninaomba Kuelimishwa ukiachilia mbali gharama ipi ni njia salama zaidi kiuhalali ,na kiurahisi kununua kiwanja kwa mtu binafsi au kampuni , ili kuepuka utapeli wa hati mbili mbili au kiwanja kimoja kupewa watu wawili.
 
Ni kununua kiwanja iwe kwa mtu binafsi au kwa kampuni lakin hakikisha unaambatana na mtu ambaye anaijua sheria ya arfhi vizuri kwa maana uwe na mwanasheria kwaajili ya uhakiki wa uslama wa eneo na uhalali wa nyaraka za eneo husika
 
Habari Wanajamvi , Ninaomba Kuelimishwa ukiachilia mbali gharama ipi ni njia salama zaidi kiuhalali ,na kiurahisi kununua kiwanja kwa mtu binafsi au kampuni , ili kuepuka utapeli wa hati mbili mbili au kiwanja kimoja kupewa watu wawili.
NUNUA KWA COMPANY
 
Kinachotakiwa ni kufahamu kwa kina historia ya umiliki wa ardhi yenyewe unayotaka kununua na taratibu zote zinazotakiwa kufuatwa katika mchakato mzima wa ununuzi wa ardhi.
Lakini kununua kwa mtu binafsi inaweza ikawa bora zaidi katika kumbana muuzaji pindi unapotokea mgogoro wa ardhi kwenye ardhi husika ukilinganisha na kununua kwa kampuni.
 
Back
Top Bottom